President Obama anavyokuwa mfano wa familia

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,883
270396_120067811419846_100002498847394_138824_5761848_n.jpg

Baada ya kufokeana na wawakilishi wa wananchi kupitia Republican, jioni anapata faraja kukaa na familia kupoza machungu ya ofisi.
 
Hahahahaaa....hii siyo photo-op kweli?

Nyani Ngabu hawa wenzetu si kama viongozi wa kiafrika ambao hata mfalme tu hafikii. Hawa wakishatoka ofisini wapo home wametulia na familia zao. Hata Bushi alikuwa hivi hivi.
 
270396_120067811419846_100002498847394_138824_5761848_n.jpg

Baada ya kufokeana na wawakilishi wa wananchi kupitia Republican, jioni anapata faraja kukaa na familia kupoza machungu ya ofisi.

Inapendeza sana mara baada ya kazi unapata wasaa wa kupumzika na familia hata mara moja moja kama afanyavyo huyu mkuu Obama. Huku Bongo its a bit contrary, ukitoka ktk biashara zako au ofisini step ya kwanza ni kwenda kwenye grocery au kwenda nyumba ndogo.
 
Huyu jamaa ni smart mwanzo mwisho!! He is really doing what he was saying during his campain, from family level to country level.
 
Inapendeza sana mara baada ya kazi unapata wasaa wa kupumzika na familia hata mara moja moja kama afanyavyo huyu mkuu Obama. Huku Bongo its a bit contrary, ukitoka ktk biashara zako au ofisini step ya kwanza ni kwenda kwenye grocery au kwenda nyumba ndogo.
Hivi unafikiri watu wanpenda hizo nyumba ndogo kihivyo?tatizo mabinti wa siku hizi wakishawekwa ndani basi wao ni gubu tu kwenda mbele,sasa kuondoa kelele unarudi chicha unaaangusha gogo mpaka monii,akitaka kimoja chake unampatia basi!
 
Duh... Nimeipenda hii,sijui Baba Mwanaasha aliwahi ishi life hii na akiba Riz huko nyuma?manake kwa sasa ni bize na ligi ya ya hafla na MIWARSHA kibao,Mama UWAMA huku Baba ............ huko!!
 
Matokeo ya Baba Riz kutokaa karibu na familia yake ni ile mtoto wake wa kike aliyemaliza kidato cha nne karibuni kuambulia daraja la chini kama si la mwisho, wakati familia ina nafasi na mazingira mazuri ya kuwaandaa kufaulu.

Obama baada ya kikizo ya watoto wake, ifikapo muda wa back to school, utamkuta ameongozana nao kwenda kuwanunua vitabu yeye mwenyewe. Mkulu wetu labda angewatuma watumishi wa ofisi ndo ukubwa wa waafrika.
 
Inapendeza sana mara baada ya kazi unapata wasaa wa kupumzika na familia hata mara moja moja kama afanyavyo huyu mkuu Obama. Huku Bongo its a bit contrary, ukitoka ktk biashara zako au ofisini step ya kwanza ni kwenda kwenye grocery au kwenda nyumba ndogo.

...Wabongo hupata wasaa wakula na familia wakati wa sikukuu za Xmas, Pasaka na Idd, lakini wako baadhi wanajitahidi siku hizi.
 
Wengi watu sisi wanaume wa ki-bongo = Supu asbh kwa mrombooo- job- mchana nyama choma/kitimoto- jioni bar-kuangalia Mpira mpaka saa 6 usk then home. asbh ratiba hivyohivyo, familia may be siku huna hela.
 
....Ndio unakaa nyumbani tena umenyong'onyea kama mgonjwa vile!!!Dah! kazi kweli kweli!!!! Ukiwa nazo nyingi zinakuwasha mfukoni ni lazima ukaziunguze mtaani!!!
 
...Wabongo hupata wasaa wakula na familia wakati wa sikukuu za Xmas, Pasaka na Idd, lakini wako baadhi wanajitahidi siku hizi.

Kumbe siyo wengi ni baadhi tu! Wengi wao kazi ni kubadirisha viwanja na vinywaji : Valuer Brandy, Jack Daniel's na totos.
Saa 7 na kuendelea siku ndio muda wa kurudi nyumbani au kulala huku huko.

Back
Top Bottom