President Kikwete's 20days world record marathon!

Mchekechoni

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
279
19
In just less than 20 days, President Kikwete has flown over a record five countries destinations in Africa and Europe, landing in different capital cities like Nouakchott, Abidjan, Kinshassa, Paris, Addis Ababa. Next destinations could be such as New York, Abu Dhabi, Tripoli, Mogadishu, Islamabad, and so on and so forth! Bon Voyage, presida JK! Viva JK viva, viva ccm viva! No research, no right to speak....but, cdm you dare! Let us congratulate JK for the 20days world record marathon winning: The Head of State's 'Above blue sky traveller's Award'!
 
OOOOOOOooooooohh GOD help our President to land each capital city in thi sworld so that he can get more and more BLUE SKY TRAVELLERS AWARD for the benefit of his mind and saul.

Je sisi WATANZANIA tunafaidika na safari hizi au tunalipia pasipo na faida yoyote ile. MUNGU tusaidie kodi zetu ziweze kuishi hazina kwa muda mrefu.
 
tutafaidika sana na wawekezaji zaidi kwenye nishati/umeme na madini, fly-over roads, Kigamboni bridge, multi-complex mosque(thanx to Ghadafi), Turque University, Machinga comlex all over Tanzania, new international standard stadiums, etc.etc! bila kusahau ziara ya Rais Obama nchini kabla ya kumalizika muhula wa pili wa JK madarakani (2010-2015).
 
Bodi ya Utalii imeshindwa kuitangaza nchi ameamua afanye mwenyewe kuna ubaya gani kama muda anao wa kutosha by the way jana kaend wizara ya fedha na kumwambia atupunguzie kodi!!!
 
This is your president Mkwere. It is the tradition of the coast people(waswahili) aspec. Zaramos and the like to travel as much as they get chances also banquets(sherehe na dhifa) ooh! so dont be supprised ma fellow JFs
 
he rather spend 90% of his time outside the country as he dont have any positive impact to us (tz) if he stay home.
 
Eti huyo ndo Raisi wa Tz lol,
wenzake wako bize kujenga nchi zao yeye anaenda kuwasumbua, eti NIMEKUJA KUSALIMIA..
 
my God!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! but am worried,may be he is trained to be a pilot by his guards. cause as you know most of coastal people wants to have and know everything mpaka uchawi ikiwezekana.
 
Hata akiwepo bongo it doesnt make any difference.

Akiwa bongo anakuwa na ratiba kali ya kuzindua kwaya, sheli, kutembelea miradi yake, kuhudhuria harusi na ziara zisizo na tuja wizara mbali mbali tena muda wa kazi na kufanya siku nzima ahughuli zisimame kwa ajili.

Hapo sijaweka adha ya foleni inayopatikana Dar pindi anapokatiza misele na msafara wake unaojumuisha ambulance, gari ya fire na kifaru lol.

Bora ashinde ughaibuni hadi 2015 akaafute neti za mbu na ARV za bure.
 
Lawama hizi zote tujipe sisi wenyewe watanzania kwa kumchagua yeye kukaa madarakani,hivyo tuvumulie tu kwa sasa.
 
Hata akiwepo bongo it doesnt make any difference.

Akiwa bongo anakuwa na ratiba kali ya kuzindua kwaya, sheli, kutembelea miradi yake, kuhudhuria harusi na ziara zisizo na tuja wizara mbali mbali tena muda wa kazi na kufanya siku nzima ahughuli zisimame kwa ajili.

Hapo sijaweka adha ya foleni inayopatikana Dar pindi anapokatiza misele na msafara wake unaojumuisha ambulance, gari ya fire na kifaru lol.

Bora ashinde ughaibuni hadi 2015 akaafute neti za mbu na ARV za bure.

duh! Ambulance na kifaru si mchezo, hapo unanikumbusha msafara wa majeshi ya mfalme wa saudia yakiingia nchini bahrain jana kujaribu kuzima maandamano ya amani!
 
In just less than 20 days, President Kikwete has flown over a record five countries destinations in Africa and Europe, landing in different capital cities like Nouakchott, Abidjan, Kinshassa, Paris, Addis Ababa. Next destinations could be such as New York, Abu Dhabi, Tripoli, Mogadishu, Islamabad, and so on and so forth! Bon Voyage, presida JK! Viva JK viva, viva ccm viva! No research, no right to speak....but, cdm you dare! Let us congratulate JK for the 20days world record marathon winning: The Head of State's 'Above blue sky traveller's Award'!
let him do what he do best
 
Back
Top Bottom