Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niiiiiiii aliyepiga picha na 50cent! mwenye ile picha tafadhali!Kitendawili..... Tega!!! Ni nani rais goigoi na mwenye pepo la kuombaomba katika Afrika?...
hizi ni kazi za kufanywa na mawaziri wa afya...to say the least.....alafu ifike mahali watanzania waanze kuhoji haya mambo....Rais mzima anawahadaa watanzania kwa kuwafanya waone anawaombea misaada wakati ukweli ni kwamba anatumia njia hii kupitisha deal zake za kuuza nchi....yaani hela inayoongelewa kwenye hii project hailingani kabisa na attention ya president wa nchi.....kitu kinachozua maswali mengi sana kwa watu makini...Mbaya zaidi anatumia fursa hizi za miradi ya afya.....na chakula....maana ndiko kwenye NGOs nyingi zinazotoa funds kwa vi nchi kama tz.....yaani mambo ya kufanywa na kina Dr.Mwinyi anayafanya yeye......wakati yale yanayohusu madaktari na wafanyakazi wengine wa afya tz anawaachia kina Mwinyi...what a hypocrite eh!!!!

Kweli kabisa, hata mimi huwa natamani alqaeda wafanye mambo! Huyu kilaza anaudhi sana!huyu mr. dhaifu anatudhalilisha sana, sasa hapo anaelewa kitu kweli?? maternal health na mtu anayezaa kila sketi ikimpitia karibu wapi na wapi?? huyu mzee atakuwa alidhaliliswa utotono sasa anataka kuprove watu kuwa yuko sawa while he is not.sasa huyo meya wa london si kama jerry slaa au yule walomweka magamba mwanza juzi kati, yaani rahisi anaona bonge la ishu kwenda kuongea na meya?? hivi kwanini alshabab hawatusaidii kumtungua huyu janga la kitaifa kama walivyomfanya saitoti?? hana faida nasi na wengi wamemchoka, binafsi nikisikia alshabab wamemlipua na bomu nitafanya bonge la sherehe, nitatumia savings zangu zote kualika mtaa mzima kula bata!!!
Pongezi sana Mh. Rais Kikwete na Mayor Bloomberg kwa program hii nzuri itakayo saidia kina mama na watoto husan vijijini