President joyce banda nominated for the forbes title!

Ana support ushoga lazima usa na uk wampe zawadi zote!

Umeongopa. Soma hapa:Malawi: President Joyce Banda U-turns on gay rights - PinkNews.co.uk. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Tuzungumzie mgogoro wa Ziwa Nyasa na siyo hili ambalo huna uhakika nalo. Na hata mgogogoro wenyewe haujaanza katika miezi sita ya utawala wake. Simfagilii ila wakati mwingine tunamuonea na kumhukumu bila sababu. Mgogoro ulianza miaka hamsini iliyopita so siyo sawa kusema ana-record mbaya ya mahusiano na majirani, na jirani mwenyewe tukiwa ni sisi tu. Mahusiano ya nchi yake na Zambia na Msumbiji yapo juu sana. Ni sawa na kusema JK ana-historia mbaya na majirani ukimaanisha Malawi tu na wakati anayo mahusiano mazuri sana na Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia na Msumbiji. Mgogoro wenyewe umewashinda marais wote wanne waliomtangulia. Unakuwa haumtendei haki.

Na kuhusu ushoga, kila mara alisema angeweza ku-repeal sheria inayokataza ushoga baada ya kupata ridhaa ya wananchi wake na hapo ju utaona ameshasema kuwa wananchi wake hawataki kabisa so unaposema anasapoti ushoga unamhukumu kwa sheria ipi?
 
Forbes ilikuwa zamani nowdays imepoteza mwelekeo.

Can't agree with you more Ciello...walipochakachua kura Big Brother ndipo nilipowasimikia msumari wa mwisho kwenye jeneza lao!
 
Back
Top Bottom