President George Bush to visit Ethiopia, Tanzania and Zambia

hamemaliza. wizi mtupu.si wangetuma email tu? yaani haya ndo yamefanya tusiangalie mpira?
 
yaani bush utafikiri ndie mwenyeji; jk hakuwa anajua kama speech zimeisha!
 
Uhusiano wa bush & kikwete ni zaidi ya uujuavyo!
One day yote tutayajua, kama tunavyojua sauv kuwa Richmond ilikuwa ya JK mwenyewe, JK is a joker.

I think you are mincing your words; a person who facilitates wealth loss from the masses can and will never be called a joker!
 
Sina muda mchafu wa kumwangalia huyo Kilaza Jk.

poa , anaongelea Ocean Rd Hosp na jinsi watakavyoisupport. Ila sound check imechelewa kufanyika. Sauti si nzuri sana. Sasa hv wametoka! Hata sielewi,kama ndiyo wamemaliza ama la!
 
Kamaliza kutoa hotuba yake,ila mbona hakutaka kumsikiliza obama kupitia video link..!?
 
Sijui usanii gani huu! Wamemaliza! Huyu ana ajenda yake. Naona ni Uranium ya huko Namtumbo!
 
pale ocen road ni njanja ya nyani tu, anakuja kusign mkataba wa kununua kisiwa cha kigamboni.

Hii nchi ni kama chungu cha maji yaliyoinjikwa kwenye jiko la kuni za mpingo. Yatakapochemka mvuke wake utakuwa mkali sana.
 
Unaweza kuona ajabu mtu wa Mtwara anayetaka kwenda Songea,hawezi hadi aende Dar! Ndiyo apite Mikumi hadi Iringa, kona pale Makambako,aende hadi Njombe anyoshe hadi Songea..! Ni makilometa kibao! Lakini alipokuja mara ya mwisho, aliahidi kuijenga barabara hiyo.
 
Yeye ni Skull and Bones sio Freemason,lakini hata hivyo vyama hivi vya siri ni watoto wa mama mmoja,na agenda yao ni moja.World domination.So inawezekana kuna kitu cha pamoja kinachoendelea towards that goal.Hata hivyo I am not sure.
wakuu!!
leo rais mstaafu wa marekani anawasili Tanzania. lakini cha kushangaza ziara hii imekuwa ni siri mno hakuna chombo cha habari hata kimoja kilicho tangaza hii ziara ya huyu muheshimiwa.
mimi ni mwanafunzi wa Muhimbili kwa sasa niko ocean road kwa clinical studies na inasemekana atakuja kutembelea leo hospitali ya ocean road.
kinacho nisikitisha ni kwamba hapa ocean road wagonjwa huwa wanalala nje kutokana na ukosefu wa vitanda na maanisha hata wodi hazitoshi. leo hakuna mgonjwa nje sasa sielewi wagonjwa wamepelekwa wapi. nachoona leo ni bendera za Tanzania tu na mauwa ndo yameshamiri huku ocean road.
je nini kilichomleta huyu rais mstaafu wa usa? au anekuja kuangalua maedeleo ya freemasons na ile miradi yake ya kigamboni?

naomba niwasilishe mwenye kujua zaidi kuhusu ziara ya siri ya huyu mueshimiwa atujuze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom