wakuu!!
leo rais mstaafu wa marekani anawasili Tanzania. lakini cha kushangaza ziara hii imekuwa ni siri mno hakuna chombo cha habari hata kimoja kilicho tangaza hii ziara ya huyu muheshimiwa.
mimi ni mwanafunzi wa Muhimbili kwa sasa niko ocean road kwa clinical studies na inasemekana atakuja kutembelea leo hospitali ya ocean road.
kinacho nisikitisha ni kwamba hapa ocean road wagonjwa huwa wanalala nje kutokana na ukosefu wa vitanda na maanisha hata wodi hazitoshi. leo hakuna mgonjwa nje sasa sielewi wagonjwa wamepelekwa wapi. nachoona leo ni bendera za Tanzania tu na mauwa ndo yameshamiri huku ocean road.
je nini kilichomleta huyu rais mstaafu wa usa? au anekuja kuangalua maedeleo ya freemasons na ile miradi yake ya kigamboni?
naomba niwasilishe mwenye kujua zaidi kuhusu ziara ya siri ya huyu mueshimiwa atujuze.
mali ya mungu we kweli kiboko,alshabab wapo kenya na wamejua kama bush yupo tzania,sababu kuu ya kufichwa nakufanywa siri kwa ziara yake ni kuwaogopa alshabab,pia anatakiwa akamatwe apelekwe the hegue ktk mahakama yauhalifu wakivita,ameua mamilioni ya wairaki,waafghanstan,wapakistan,wapalestina nahata wasomali,na wacongomani,huyu ndie wakupelekwa the hegue,sio gbagbo wanamuonea tu.Alshabab wako wapi waniondolee taka taka hiyo
Karibu sana Tanzania. Huyu jamaa alifanya kazi nzuri sana kwa masuhala ya usalama wa dunia. Kata funua wahuni,magaidi na wafadhili wao!
Kama mambo yapo hivi ****** kwanini hatutaki kutoa! Wanaume wenzangu tuanze kutembea na sabuni ili maumivu yasiwe makari! Ndio tunasema tanzania amani ipo na viongozi wanajinadi vifua mbele!? Amakweli ukipenda dezo wanakudezo kwa raha zao! Harafu eti tunajiita vidume kifua mbele!
ww utakua umerogwa na aliyekuroga alishakufa c bure
............Huyu ana ukurugenzi kwenye kampuni Ya BARICK