TANZIA President Bingu wa Mutharika of Malawi is dead!

LILONGWE (Malawi Democrat)- Malawi President Bingu wa Mutharika has died after doctors at Kamuzu Central Hospital failed to resuscitate him.
 
Duh is a short while I just heared it on BBC that he was unconcius in ICU and now he's gone.
 
Acheni akili za viroba na valeur jamaa bado yk ICU atahamishiwa MOI soon
 
Utabiri wa tb joshua watimia,alisema ndani ya miezi miwili kuna rais barani africa atakufa watu wakagues mugabe.
 
BPS (Be punished severely) !!!
NB:It is my choice whether to pray ill or good for him but God is responsible to put hm wherever he wants!
 
Tusubiri mwenyewe (TB Joshua) atakuja dhibitisha kama unabii ulikuwa wa Rais wa Malawi ama mwingine.
 
More update: "Wanadai" bado yuko hai na wanamhamishia Afrika ya Kusini japo hali yake wanasema ni "critical".

Incapacitated Mutharika taken to South Africa hospital | Malawi news, Malawi - NyasaTimes breaking online news source from Malawi

Inner circle ya Mheshimiwa, haitaki kumruhusu Makamu wake achukue nafasi ya Rais baada ya Mutharika kuwa incapacitated. Kama baya likitokea (kifo cha Bingu), basi tutarajie transition ambayo sina hakika kama itakuwa na usalama.

Katiba za nchi za Afrika zinawapa marais nguvu/mamlaka kubwa sana kiasi kwamba wanakuwa mungu-mtu matokeo yake akifa ghafla nchi inaweza kuingia kwenye matatizo makubwa. Urais kwa nchi za Afrika hauchukuliwi kama Institution, bali unachukuliwa kama ni mtu binafsi, which makes the person in power to be mungu-mtu na akitoka kila kitu kinasimama.

Sasa hapo Rais ni mahututi, lakini makamu wake haruhusiwi ku-handle anything at the same time Katiba hiyo hiyo inatamka kwamba Rais akiwa mahututi, makamu wake anachukua nafasi. Kwa sasa Rais yuko unconscious, ni sawa kwamba hayupo kabisa maana hawawezi hata kum-consult na hata akipata nafuu hawezi kuwa na akili timamu ya kufanya maamuzi. So, kama jamaa yuko hai, maamuzi yote yatasubiri mpaka apone kabisa au anaweza kutoa maamuzi akiwa mgonjwa hivyo hivyo, sasa kama ni maamuzi sahihi au mabaya, sijui watamlaumu nani?

Afrika tuna safari ndefu sana!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
mimi niliona live misa aliyokuwepo lowassa, tb hakumtabiria chochote wabongo wazushi sana, wala hakuongea naye kumpa profecy. wabongo acheni uongo khaaaa.
 
Huyo Rais alivyokuwa Mbaya, alitesa hadi rais wa sasa wa Zambia na Unajua alifanya kazi World Bank; labda walimwekea sumu mkewe alikufa sasa akawa anapikiwa na watumishi wake...
 
Back
Top Bottom