Pres Obama's Trip to the Muslim World: A New Partnership

Thank you very much. Good afternoon. I am honored to be in the timeless city of Cairo, and to be hosted by two remarkable institutions. For over a thousand years, Al-Azhar has stood as a beacon of Islamic learning; and for over a century, Cairo University has been a source of Egypt's advancement. And together, you represent the harmony between tradition and progress. I'm grateful for your hospitality, and the hospitality of the people of Egypt. And I'm also proud to carry with me the goodwill of the American people, and a greeting of peace from Muslim communities in my country: Assalaamu alaykum.

LINK

The White House - Press Office - Remarks by the President at Cairo University, 6-04-09
 
Du! Mkuu title imekaa vibaya, nikifikiri una maanisha amekuwa MKALI kwa waarabu, kumbe mkali kwa maana ya mambo yake Mswano.

Nimekusoma Mkuu. Big Up!
 
i never said that all wazungu are racists! I used the word most.

You are talking in broad generalities here. What is most? And to be racist you don't have to be white. You can be black and be racist. You can be Hispanic and be racist. Would it be fair for a white person to say "most" black people are racist? And you know what? People who hold racist views don't even think or know or admit that they are racist. You (Mtoto) could very well be projecting your own racist views by accusing "most" white people to be racist. Have you thought about that? I bet not.

U can always pick out of a sample a few individuals who dont fit the trend. De Clerk's point of view was not a common shared view among the wazungu's population in SA.

I can't comment much on this until you show me some opoinion poll numbers of the time.

Obama ameshinda urais marekani due to their electoral system. Unajua kapata asilimia ngapi ya total votes?.

Ndio, najua. Alipata asilimia 52.9 (ya popular votes)

System ya uchaguzi marekani haimaanishi mwenye popular vote ndo mshindi. ndo maana strategy yao ya kampeni ni tofauti. I think he didn;t even get 55% of total votes.

Okay, we already know that.

Kama ulifuatilia primaries utaweza kukupunga advertisement ya Clinton. Simu inalia usiku, alafu anauliza who would u rather have picking up the phone. That was meant to play up on the people's fear..

Siasa ni mchezo mchafu. Everything, including the kitchen sink goes. Mbona campaign ya Obama walim-cast Clinton na mumewe kama ma racist. Do you really think Bill and Hillary are racists? If anything, that ad was meant to exploit his (O'Bummer's) inexperience and not his race (biracial).

Obama ameshinda kwa sababu it was time for change marekani. There was no way, wangewaachia republicans.

Any Democrat would have won in the last year's election. Hata kama wangesimamisha jiwe, wangeshinda tu.

Fear doesnt have to equte to evil conduct my friend, for example, fear of revenge. It can be fear of change in the way people used to live their lives. Ni kama kupinga equal rights for homosexuals. Part of the reason is fear of bringing in that change, and how society will change from then.

Okay....

Mara nyingi wazungu wanaona kama waafrika wanakuja kuharibu stystem. They think and believe that they know best how to run everything.

Siwalaumu hata kidogo kama wanaona hivyo. Kwa sababu, na sisi tuna "system" zetu. Sasa kwa nini tunaziacha za kwetu na kuzifuata za kwao

Ndo maana ni ngumu kwa wewe (as an african) ku-break through katika society yao.

Huko ku break through ni kugumu hata kwenye jamii zetu wenyewe. Kwetu maisha yametushinda sasa tunataka kwenda kuvamia jamii za wengine na kuharibu. Hata mimi nitampinga mtu anayetaka kufanya hivyo. Damn it.

Kama unafuatilia wapinzani wa obama, utaona hii element katika argument yao. Mara hatujaona birth cirtificate yake, blah blah, blah. This fear is eliminated though exposure.

Hayo mambo ya cheti cha kuzaliwa ni kelele za kisiasa tu. Hata McCain walihoji uhalali wake wa kugombea uraisi kwa sababu hakuzaliwa Marekani. Huzisikii tena hizo kelele kwa sababu alishindwa.

Nikupe mfano mwingine, mara nyingi ukienda katika vijiji afrika na mzungu, utaona watoto wanavyomzunguka na kumpungia. Lakini wewe nenda sehemu ambayo watoto wa kizungu hawajawai ona mwaafrika. Watabaki wanashangaa na kukaa mbali. Do u see the difference hapo? How would u explain that?

Ahahahahaha...this might explain why Africans were taken into slavery and shi.t. Na huyo mzungu akianza kugawa peremende ndo atawachota akili kabisa hao watoto na hata wazazi wao.
 
What an unhappy bunch of caucasians, hating on other people won't make them feel any better about themselves. I wonder why people don't understand Ahmadinejad, I totally understand him...
 
Hi guys

Kwa kweli hii ni sehemu ndogo sana ya wanaisraeli-mimi nimefuatilia reactions za watu mbali mbali dunia hasa hasa parestine,Afghanistan,Europe and Arab world in general, kwa kweli hotuba imekubalika, hawa walevi wachache kwenye baa ni mtu kawapiga picha ya video na kuweka kwenye YOU TUBE, hata Obama anao maadui
 
All I can say is B.S! And that's a mild language compared to what I heard them call Obama.
 
Last edited by a moderator:
Hainishangazi jews kusema hivyo kuna wakati miaka ya nyuma walifika kutangaza kuwa wanategemea kufanya silaha za sumu zakuwauwa watu weusi tu ,any way Mr Adof anajuwa zaidi undani wa watu hawa
 
Wangekuwa wanaziogopa races nyingine wasingertawala Afrika, Asia, Mashariki ya mbali na mashariki ya kati. Wasingechukua watumwa kwa sababu wangeogopa...wasingetawala kwa mabavu Afrika kusini...kusingekuwa na Apartheid na Jim Crow...yaani hayo yote wangefyata mkia kwa sababu wanaziogopa races nyingine.

...feel sorry kwa watu wa aina yako,ungekuwa first generations ya colored people still tungekuwa third rate citizens,thank God hampo wengi na mnazidi kupungua!
 
You are talking in broad generalities here. What is most? And to be racist you don't have to be white. You can be black and be racist. You can be Hispanic and be racist. Would it be fair for a white person to say "most" black people are racist? And you know what? People who hold racist views don't even think or know or admit that they are racist. You (Mtoto) could very well be projecting your own racist views by accusing "most" white people to be racist. Have you thought about that? I bet not.

I can't comment much on this until you show me some opoinion poll numbers of the time.

Ndio, najua. Alipata asilimia 52.9 (ya popular votes)

Okay, we already know that.

Siasa ni mchezo mchafu. Everything, including the kitchen sink goes. Mbona campaign ya Obama walim-cast Clinton na mumewe kama ma racist. Do you really think Bill and Hillary are racists? If anything, that ad was meant to exploit his (O'Bummer's) inexperience and not his race (biracial).

Any Democrat would have won in the last year's election. Hata kama wangesimamisha jiwe, wangeshinda tu.

Okay....

Siwalaumu hata kidogo kama wanaona hivyo. Kwa sababu, na sisi tuna "system" zetu. Sasa kwa nini tunaziacha za kwetu na kuzifuata za kwao

Huko ku break through ni kugumu hata kwenye jamii zetu wenyewe. Kwetu maisha yametushinda sasa tunataka kwenda kuvamia jamii za wengine na kuharibu. Hata mimi nitampinga mtu anayetaka kufanya hivyo. Damn it.

Hayo mambo ya cheti cha kuzaliwa ni kelele za kisiasa tu. Hata McCain walihoji uhalali wake wa kugombea uraisi kwa sababu hakuzaliwa Marekani. Huzisikii tena hizo kelele kwa sababu alishindwa.

Ahahahahaha...this might explain why Africans were taken into slavery and shi.t. Na huyo mzungu akianza kugawa peremende ndo atawachota akili kabisa hao watoto na hata wazazi wao.

sijaona kama umeweka hoja zozote za maana za ku-oppose my stance. U were basically agreeing with how I crashed ur stupid reasons. And frankly, u have failed to crush mine! Give it another try...

Kwanza umeshaonyesha dalili za kukwepa discussion, eti "And to be racist you don't have to be white". hapa tunaongelea wazungu. Hujaelewa hilo mpaka sasa ivi? au kichwa ngumu wewe? The race on discussion is wazungu. Deal with it! Kama my view on them inakuboa, sema, sio uanze kusema eti other races pia ni wabaguzi. Au nikuandikie kiswahili uelewa kitu ninachojaribu kusema? Maana kwanza hujaelewa kwa nini kufanya mtu awe mtumwa, ni moja ya njia za kuwa-supress kutokana na kuwaogopa. Nadhani ukasoma kwa nini falme katika vita zilikuwa zinachukua watumwa, hasa vijana walio katika stage ya production. Kasome biblia, kuna ample examples za hata wanawake walio katika prime production period kuuwawa au kuchukuliwa utumwani kwa sababu ya kuzuia reproduction. Au wewe kwa sababu uliambiwa wazungu walichukua waafrika kwa kusudi la kulima mashamba ya miwa ndo unaamini....hahahaha! Na ni nani ndo alikwambia hivyo? Sio mzungu huyo? Wacha kuongea pumba!

Pili, hujaweza kujibu kwa nini sisi waafrika tuko more welcoming zaidi ya wazungu. Umejaribu kwa kusema "
Kwetu maisha yametushinda sasa tunataka kwenda kuvamia jamii za wengine na kuharibu. Hata mimi nitampinga mtu anayetaka kufanya hivyo. Damn it."
Kwanza ni kiasi gani wao wanakuja kukomba kwetu? wewe leo mzungu aliyechoka akija bongo akajiita expert wa kilimo, atapewa ardhi. Wewe jaribu kufanya hivyo kwao, hata kama ulikuwa unalima hekta 1000. I think it is only fair na sisi tuende kwao tukafanye kazi. Ungependa exploitation itoke upande mmoja tu? Pia unakuwa narrow minded in the current globalisation era. Lazima ujue sasa ivi hakuna mipaka tena. If u exploit me, i will exploit u. My point still stand, wazungu ni WAOGA, na hivyo hujenga racism against other races. Wakati sisi tunawaonyesha mapokezi mazuri nchini mwetu, wao wanakuja kutufanyia ujinga tukienda kwao. huo ni woga! Asilimia ndogo ya walio safiri ndo wanauwezo mkubwa kwa kuelewa.

Toa hoja pingamizi ya maana, sio kukubaliana na kila ninachosema. Nimekuwa mumeo? Au kama umeshindwa sema wazi kabisa.

P.S: picha uliyompa Koba, kwani hakuna wazungu wa namna hiyo? Toa ujinga hapa.
 
sijaona kama umeweka hoja zozote za maana za ku-oppose my stance. U were basically agreeing with how I crashed ur stupid reasons. And frankly, u have failed to crush mine! Give it another try...
You crushed my "stupid reasons"? Haya, wewe jipe ushindi wa mezani. Kwa hilo nitakupa pass....
Kwanza umeshaonyesha dalili za kukwepa discussion, eti "And to be racist you don't have to be white". hapa tunaongelea wazungu. Hujaelewa hilo mpaka sasa ivi? au kichwa ngumu wewe? The race on discussion is wazungu. Deal with it! Kama my view on them inakuboa, sema, sio uanze kusema eti other races pia ni wabaguzi.

Racism is a two way street. You can't confine me to discussing only white people's racism. Failure!

Au nikuandikie kiswahili uelewa kitu ninachojaribu kusema? Maana kwanza hujaelewa kwa nini kufanya mtu awe mtumwa, ni moja ya njia za kuwa-supress kutokana na kuwaogopa. Nadhani ukasoma kwa nini falme katika vita zilikuwa zinachukua watumwa, hasa vijana walio katika stage ya production. Kasome biblia, kuna ample examples za hata wanawake walio katika prime production period kuuwawa au kuchukuliwa utumwani kwa sababu ya kuzuia reproduction. Au wewe kwa sababu uliambiwa wazungu walichukua waafrika kwa kusudi la kulima mashamba ya miwa ndo unaamini....hahahaha! Na ni nani ndo alikwambia hivyo? Sio mzungu huyo? Wacha kuongea pumba!
Good Lord Almighty. How about starting with the man in the mirror coz surely I need a translation to understand what you're talking about.Kasome kasome nyiiingi....kama wewe umesoma yote hayo kwa nini usimwage utirio hapa?
Pili, hujaweza kujibu kwa nini sisi waafrika tuko more welcoming zaidi ya wazungu. Umejaribu kwa kusema "Kwetu maisha yametushinda sasa tunataka kwenda kuvamia jamii za wengine na kuharibu. Hata mimi nitampinga mtu anayetaka kufanya hivyo. Damn it."
Please provide some empirical data to support your claim. And what do you exactly mean by "welcoming"? All those African immigrant communities in Europe and North America, haven't they been welcomed by the Wazungu society?
Kwanza ni kiasi gani wao wanakuja kukomba kwetu?

Kama wanakuja kukomba kwetu kosa ni la nani? Yaani una hoja lemavu kweli wewe.

wewe leo mzungu aliyechoka akija bongo akajiita expert wa kilimo, atapewa ardhi. Wewe jaribu kufanya hivyo kwao, hata kama ulikuwa unalima hekta 1000.

Nani anampa hiyo ardhi huyo mzungu expert aliyechoka? Si ni sisi wenyewe? Sasa hapo mjinga na wa kulaumiwa ni nani? Kwao hawawezi kukupa kitu kiholela holela kwa sababu wao wako makini zaidi. Halafu kwa akili yako mwenyewe unaiona hii hoja ya nguvu kweli kweli....things that make you go hhmmmm.....

I think it is only fair na sisi tuende kwao tukafanye kazi.

Naanza kuchoka kabisa na reasoning yako....Sasa sisi kwenda huko kwao na kufanya kazi ndio kutatuletea maendeleo kwenye jamii zetu?

Ungependa exploitation itoke upande mmoja tu? Pia unakuwa narrow minded in the current globalisation era. Lazima ujue sasa ivi hakuna mipaka tena. If u exploit me, i will exploit u. My point still stand, wazungu ni WAOGA, na hivyo hujenga racism against other races.

Your point is unfounded! I'm sorry...huwezi kuwaita watu wanaoenda mwezini na kwenye sayari zingine waoga. Wanachokiogopa ni nini hasa?

Wakati sisi tunawaonyesha mapokezi mazuri nchini mwetu, wao wanakuja kutufanyia ujinga tukienda kwao. huo ni woga! Asilimia ndogo ya walio safiri ndo wanauwezo mkubwa kwa kuelewa.

Huo sio uwoga. Hiyo ni akili, ujanja, na werevu. Mimi leo hii nikija kwenye mji (familia yako) wako halafu nikakudanganya danganya na wewe ukaanza ku deposit nusu ya mshahara wako kila mwezi kwenye akaunti yangu nani atakuwa mjinga hapo? Sasa wao wanakuja kwetu na kufanya madudu na sisi tuwaachia tu huoni kama huo ni ujinga kwa upande wetu?
Toa hoja pingamizi ya maana, sio kukubaliana na kila ninachosema. Nimekuwa mumeo? Au kama umeshindwa sema wazi kabisa.

Puh...leease!! Stop flattering yourself. Wapi nimekubaliana na "kila" kitu unachosema?
P.S: picha uliyompa Koba, kwani hakuna wazungu wa namna hiyo? Toa ujinga hapa.
Mambo mengine yasiyokuhusu yaache kama yalivyo. Mimi na Koba go way back na yeye kaupata ujumbe niliokuwa nimeutuma.
Seriously, next time come on with it harder to make it a fair fight. Thanks.
 
Mtoto naomba kuuliza. Kama ni wabaguzi iweje useme ni haki yetu kwenda kwao kufanya kazi? Maana uki sema mtu ni mbaguzi halafu pia uka taka kumfuata kidogo ina contradict kauli yako. Si wata zidi kuku bagua? Ni swali tu, kuuliza si ujinga.
 
Mtoto ana hoja za kitoto kweli.....halafu mwenyewe anaona kazipangua hoja zangu na kuzipanga za kwake kama matofali...Lol
 
Back
Top Bottom