Pres Obama's Trip to the Muslim World: A New Partnership

Hahaha. Some Arab newspapers were saying the man won't deliver but I'm not hearing any complaints thus far. The guy is a talented speaker though.

Kawaacha hoi.

Only repubs ndo wanaleta news zao zisozo na sense, they're against the speech halafu wanaongea ;pumba
 
Kawaacha hoi.

Only repubs ndo wanaleta news zao zisozo na sense, they're against the speech halafu wanaongea ;pumba

Haters are every where. No matter what you do there are some people who find some thing to say.
 
Mimi mwenyewe I'm working now on becoming a future leader lol. Nime choka kusoma tu wenzangu ngoja na mimi niwe topic of debate.
 
Mimi mwenyewe I'm working now on becoming a future leader lol. Nime choka kusoma tu wenzangu ngoja na mimi niwe topic of debate.

lol!.

Na wewe usiondoke na mwingine ukanicha kwenye mataa ukifika huko juu kama nilivochelewa kwa 'jamaa' mwenye topic...lol!

Nianze kuchombeza mapema, lakini mimi M wakikusema vibaya, nitawachapa! wote...
 
I almost posted a thread about Obama's speech.

Kama vile umeona mawazo yangu.
 
lol!.

Na wewe usiondoke na mwingine ukanicha kwenye mataa ukifika huko juu kama nilivochelewa kwa 'jamaa' mwenye topic...lol!

Nianze kuchombeza mapema, lakini mimi M wakikusema vibaya, nitawachapa! wote...

Lol you can take the ride with me tena on the front sit. I'm yours to lose haha. Thanks for the support..
 
We can't deny the fact that he's very talented especially in his speeches. Unakumbuka hata Hillary ali complain kuwa jamaa atatoa speech tu, I think kwenye debates during the primaries. His speechwriter is very smart, that jon kid. Halafu he didn't go easy hata kwa israel alivosema no nation shall have nuclear power, ameelezea vizuri indirect mdahalo wa Iran/Israel wa kwa nini Israel wanazo lakini Iran wanazuiwa kuwanazo
 
We can't deny the fact that he's very talented especially in his speeches. Unakumbuka hata Hillary ali complain kuwa jamaa atatoa speech tu, I think kwenye debates during the primaries. His speechwriter is very smart, that jon kid. Halafu he didn't go easy hata kwa israel alivosema no nation shall have nuclear power, ameelezea vizuri indirect mdahalo wa Iran/Israel wa kwa nini Israel wanazo lakini Iran wanazuiwa kuwanazo


Mkuu Kui, Ni kweli Speechwriter wa Obama (Jon Favreau) ni mtu anayejua kupanga maneno,imeelezwa kuwa kwa kiwango kikubwa Hotuba ya Jana huko Egypt imeandikwa na huyo Bwana Mdogo mwenye umri wa miaka 27 kwa kushirikiana na Robert Gibbs na watu wa Siasa za Middle East/Asia kutoka State Department.

Jon inasemekana ndiye aliyeanzisha neno "YES WE CAN" na aliungana na Obama mara baada ya Hotuba ya Obama ya 2004 kwenye Democratic Convention,Jon alikuwa mfanyakazi kwenye kampeni ya Sen. John Kerry mwaka 2004 kabla ya kujiunga na Obama.

Jon kwa sasa ndiye Senior Speechwriter wa Obama na msaidizi wake ni Adam Frankel mwenye umri wa miaka 26.Historia ya White House inaonyesha pia Rais Jimmy Carter alikuwa na Speechwriter mwenye umri wa miaka 27 aliyejulikana kwa jina la James Fallows.

Mkuu Kui!...Nimekuona mahali unamzungumzia Makamba,naomba usimfananishe Makamba na Jon...Katika Umahili wao wa kuandika,Maana ukipenda "Chongo unaweza kuita Kengeza"
 
... kwa israel alivosema no nation shall have nuclear power, ameelezea vizuri indirect mdahalo wa Iran/Israel wa kwa nini Israel wanazo lakini Iran wanazuiwa kuwanazo

Si kweli.

Hajasema chochote cha maana kuhusu "kwa nini Israel wanazo lakini Iran wanazuiwa kuwanazo".

Hajasema kwa nini Iran wasiwe na nukes.

Hajasema kwa nini yeye anazo nukes.

Hajasema ni lini hiyo commitment yake, ndoto yake, ya kuona hakuna mwenye nukes duniani itatekelezwa.

Hajasema kuhusu usiri wa nukes za Israel (na hapa ndio mzizi wa fitina ulipo). Tusipeana tafsiri potofu.


``The third source of tension is our shared interest in the rights and responsibilities of nations on nuclear weapons.

This issue has been a source of tension between the United States and the Islamic Republic of Iran...

But it is clear to all concerned that when it comes to nuclear weapons, we have reached a decisive point. This is not simply about America's interests. It is about preventing a nuclear arms race in the Middle East that could lead this region and the world down a hugely dangerous path.

I understand those who protest that some countries have weapons that others do not. No single nation should pick and choose which nations hold nuclear weapons. That is why I strongly reaffirmed America's commitment to seek a world in which no nations hold nuclear weapons. And any nation - including Iran - should have the right to access peaceful nuclear power if it complies with its responsibilities under the nuclear Non-Proliferation Treaty. That commitment is at the core of the Treaty, and it must be kept for all who fully abide by it. And I am hopeful that all countries in the region can share in this goal.``
 
Obama ameudhirihishia ulimwengu kuwa yeye ni muungwana na akili anazo maana hili suala la ubaguzi wa kidini kuwa watu wanaoumia si viongozi na hawapati faida yeyote ingawa kwa upande wa pili Ugomvi mwingi wa nchi za ulaya na Asia ni kwa sababu ya maslahi ila Obama amesema kuwa yeye haoni haja ya kuendeleza vita na kusema ni vyema tukashirikiana kwa kila jambo. Pia Ugomvi wa Israel na Pakistani hautakoma kwa risasi na mabomu bali kuzungumza.

Toa maoni yako kama mpenda maendeleo na mwenye ufikiri mzuri.
 
tUNASHUKURU KWA MAONI YAKO LAKINI NAOMBA UWE NA KUMBUKUMBU SAHIHI UGOMVI NI KATI YA ISRAEL NA PALESTINA SIO PAKISTANI.JAPO ULIMWENGU WA KIISLAMU UNAKUWA NA MASHAKA NA MSIMAMO WA MAREKANI SIAMINI OBAMA ATAKAPOONA MASLAHI YA WAMAREKANI YANAATHIRIWA ATANYAMAZA,BWANA WE MWIZI HATA AKUAMBIE AMEOKOKA USIMWACHIE MAMILIONI UTAONA ATAKAVYOAHIRISHA ULOKOLE WAKE.SISI WOTE TU VIUMBE WA MUNGU HAKUNA HAJA YA KUJENGEANA CHUKI.
 
Kumbuka kuwa Marekani siku zote wako after ECONOMIC INTERESTS and mind you this is perpetual, hata aje wa Republican au Democrat. Tofauti tu ni approach. Huyu dogo Obama anaonekana more diplomatic lakini anaweza kweli kubadili msimamo wa siku zote wa kulinda maslahi yao nje ya Marekani na duniani kote? Yuko tayari kutoa majeshi Afghanistan, Korea, Pakistan, Yemen na kwingineko? Yuko tayari kutoa American biasness towards Israel ambayo imedumu tangu taifa hilo lilipoundwa mwaka 1948? Tuendelee kujadili.
 
Back
Top Bottom