Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,148
Kampuni ya ndege ya precission imecancel safari ya kwenda mwanza tena jana jioni ikiwa ni mara ya kumi na sita 16 kukacha safari ya mwanza....habari zaidi zinasema leo hhii wamefuta tena flt ya kwenda shinyanga....
mlioko precission tuabadilisheni kulikoni
mlioko precission tuabadilisheni kulikoni