swallamah sheikh??
Kwenye Lugha ya Kiswahili hakuna Msamiati "Hakunaga" vinginevyo uliambie Jamvi hili kwamba huu ni Msamiati Mpya!!
swallamah sheikh??
ninavyooongeaaaaaa na weewe WAMEFIKA SAA TISA WAMEAMBIWA NA NUSU;;ILIPOFIKA SAAAAAAAAA TISA NA NUSU WAKAAAAMBIWA KUMI KAMILI..ILPOFIKA KASOROBO WAKAAMBIWA NA DK KUMI..NDIO WAMEONDOKA NA ROBO..DADANGU AMEKUJA KAKIMBIA OFISI TOKA SAA SABA MASKINI KUFIKA NDIO HAYO ANAKUTANA NAYO..MBAYA ZAIDI WAKAKUTANA NA RAFIKI WAKE WA MOMBASA NAE ALIKUWA NA DLY KUANZIA SAA SABA..MMMH KAZI IPO HII NDIO PRECISSIONAIR YETU
Hata kama, PA si mjasilia mali anayepaswa kutetewa ati ni mzawa, wanakera na hawanautu, ni mateso kwa abiria kila siku, ni wazembe na wananyodo kupindukia.
Katika utoaji wa huduma kwa wateja, jitahidi kuruhusu malalamiko ili yakusaidie kuboresha. Kamwe usilaumu mtu kwa kukulalamikia, kumbuka kwamba ukiona lalamiko moja, kuna mengine 25 ambayo hayakutolewa.
Nilikuwa nasubiria ni nani atakuwa wa kwanza kutoa hoja yenye uzalendo! You are the first one, thanx very much for this mkuu!!! Katika biashara kuna ups and downs...but kuteleza si kuanguka!!!