Precision|Exactness|Empiricism - Uthabiti|Usahihi|Uhakika

hizi metafizikia ndio zinatuleta matatizo, ndio maana rushwa mmeipa majina mengi yanayoifanya isiwe presaisi, mara eti kuzunguka mbuyu, kupewa chai, kulainisha koo, kula mlungula ilhali rushwa ni rushwa tu!

Una bahati hujafundishwa na Senior manake yeye alikuwa anasahihisha hadi punctuation marks lol.
 
hizi metafizikia ndio zinatuleta matatizo, ndio maana rushwa mmeipa majina mengi yanayoifanya isiwe presaisi, mara eti kuzunguka mbuyu, kupewa chai, kulainisha koo, kula mlungula ilhali rushwa ni rushwa tu!

Wewe huwezi kushutumu kitu kimoja kupewa majina mengi katika thread uliyoianzisha mwenyewe kwa jina la "Precision|Exactness|Empiricism - Uthabiti|Usahihi|Uhakika

A little consistency goes a long way in establishing your credibility.

Bado huja address issue ya uhakika kutowezekanika.
 
yaani kiranga na nyani mkiwa kwenye kamati ya kuamua kama tupigane na malawi ama la mtashindwa kutoa majibu yaliyo thabiti/sahihi/hakika, mtaanza mara oh unajua joyce banda ni mpwa wa kamuzu banda ad infinitum et absurd et nauseum!
 
Companero
Hao watu unaowataka wawe na uhakika, wao wenyewe hawana hata uhakika kama wahai, wamekufa au wanaota
 
yaani kiranga na nyani mkiwa kwenye kamati ya kuamua kama tupigane na malawi ama la mtashindwa kutoa majibu yaliyo thabiti/sahihi/hakika, mtaanza mara oh unajua joyce banda ni mpwa wa kamuzu banda ad infinitum et absurd et nauseum!

Context is everything my friend.

Kwenye vita kuna gray area kubwa sana.

Au wewe kwako vita ni suala la black and white?
 
Unaweza kuamua bila ya kuwa na exactitude.Mie naweza kuamua kwa sababu sijafanya exactitude kuwa my guiding light, nakuwa practical kwa sababu nishajua exactitude is defined by a margin of error, and so in essence is not exactitude.

Wewe unayetaka exactitude ndo hata kupima mpaka tu kutakushinda kwa sababu mpaka wenyewe uko kwenye mawimbi ya ziwa yanayoruka kila sekunde.

Nakuonyesha tu jinis gani ku rely on exactitude kulivyo illusive.
 
hiyo kwenye nyekundu hapo ndio ndio tatizo lenyewe ambalo dawa yake ni modeli ya uthabiti/usahihi/uhakika!

unashindwa kusema ni kubwa kiasi gani? mf. kwa asilimia ngapi? hivi rubani akisema masaa ya kurusha ndege ni mengi sana abiria mtafika salama kweli? au akisema itachukua muda mrefu sana kufika na kutua, watu watapangiliaje ratiba ya ndege kutua/kupaa?
 
hiyo kwenye nyekundu hapo ndio ndio tatizo lenyewe ambalo dawa yake ni modeli ya uthabiti/usahihi/uhakika!

unashindwa kusema ni kubwa kiasi gani? mf. kwa asilimia ngapi? hivi rubani akisema masaa ya kurusha ndege ni mengi sana abiria mtafika salama kweli?

Vita is a whole different ballgame. Huamui tu kwenda vitani kirahisi rahisi. Ni lazima u-weigh mambo mengi. Hakuna usahihi wala uhakika kwenye vita.
 
Unaweza kuamua bila ya kuwa na exactitude.Mie naweza kuamua kwa sababu sijafanya exactitude kuwa my guiding light, nakuwa practical kwa sababu nishajua exactitude is defined by a margin of error, and so in essence is not exactitude.

Wewe unayetaka exactitude ndo hata kupima mpaka tu kutakushinda kwa sababu mpaka wenyewe uko kwenye mawimbi ya ziwa yanayoruka kila sekunde.

Nakuonyesha tu jinis gani ku rely on exactitude kulivyo illusive.

suala la 'margin of error' limejumuishwa kwenye modeli, rejea posti ya kwanza hapo juu; kinachohitajika ni kuifanya iwe minute/negligible!
 
Ukishakuwa na margin of error essentially bado una calibrate, huna exactitude. My entire point.

Tafuta kitu kingine kinachoelezea calibration, self correction, convergence etc.

Just not exactitude.
 
margin of error haiwezi kuwa zero pale e = 0? mfano kama basi la kuondoka saa 1 kamili asubuhi na kufika saa 7 kamili mchana likiondoka muda na kufika muda huo si e = 0? si hii ina maana ni muhimu kuhakikisha e +e + e...+ e = 0?
 
Ukishaongelea "margin" lazima iwe na value other than zero, ikiwa zero si margin hiyo. Ni kama kuwa na "probability" 1, hiyo si probability.

Na hata hiyo zero yenyewe ni a mathematical concept tu, huwezi kunihakikishia kwamba ipo.
 
Duh... Once back on the topic at hand hope there is a default post sync notification lol.
 
And the streets say Jigga can't go back home
You know when I heard that? When I was back home
-
"Streets Is Talking" Jay-Z

Don't ask for fresh water on the mouth of the Amazon.

We are "on the topic at hand", you are just thinking these waters are salty without dipping your bucket low enough.
 
No... from my scrutiny of which I very much rely on [hence partaking with no qualm that it does not really matter at the moment if the water is salty or fresh]; I grasp you are still cycling round the topic at hand but not yet there.

BTW anybody dumb enough to ask for fresh water on the mouth of the Amazon is an amateur adventurer, and I am not an amateur Kiranga.
 
Anyone who writes the above cannot successfully deny being an amateur.

In short, we are digging deeper into the heart of the matter, and your amateurish scrutiny is blinded by the fact that we are diving where sunlight does not reach.

I disputed the very validity of the concept of exactitude, a mantra of the prescribed panacea, to the chagrin and exhaustion of our resident scholar.

What do you know about that?
 
Exactitude is a mirage.

Precisely.

I am dumbfounded to see a scholar of much renown reduce himself to a level fit for the run of the mill caliber of propaganda, and I mean propaganda in the lower/ negative poisonous sense.

This talk is fit for an illusive politician bent on manoeuvring power plays, but hardly palatable in the palaces of unfettered thought.

Have some humility people.
 
Anyone who writes the above cannot successfully deny being an amateur.

In short, we are digging deeper into the heart of the matter, and your amateurish scrutiny is blinded by the fact that we are diving where sunlight does not reach.

I disputed the very validity of the concept of exactitude, a mantra of the prescribed panacea, to the chagrin and exhaustion of our resident scholar.

What do you know about that?

About attainment of the other's acceptance on one being an amateur or not - may only be binding to one who contemplates what s/he discerns and concludes as absolute. i.e I could contemplate the same about you but still each one of us would twig to one's belief of one's self.

Yeah' you are digging deeper alright; but digging deeper into the heart of what I framed a cycled round matter of the topic itself. It is evident you dispute the validity of the concept of exactitude as your former three crystal clear posts shows.

You have the right to dispute the very validity of the concept of exactitude, but still I notice our so called resident scholar is in line of the prescribed panacea regardless of his chagrin and exhaustion [which in this case is comprehensible].

What I know is still grounded on my prior dictum of which relies on it being in sync of the matter itself as opposed to the cycled round matter.
 
Are you guys trying to promulgate your exhortations or simply articulating superficial sentimentality?! I can not really fathom th gravitas of your little soliloque...please enlighten me..are you still discussing th topic at hand??!
 
Back
Top Bottom