Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,720
- 21,779
Mkuu kama wewe ni frequent flyier bila shaka unajua kuwa Precision Air kwa sasa wanaji handle wenyewe ikiwa ni pamoja na kutangaza chochote kihusucho ndege hiyo pamoja na delays- ina maana wamejivua kupata huduma zozote zile za Swissport na hivyo Swissport hawahusiki na upungufu wowote utokanao na hudumu zote zitolewazo na Precision.Precision ilianza vizuri sana lakini kwa sababu ya tamaa, na huenda siyo wao bali wabia wao KQ( Kenya Airways) kutaka kuchukua biashara kubwa ya usafiri wa anga basi wanajitanua hadi kuingia kwenye none-core business.Bado tutajionea mengi...hili ni dogo tu.
mkuu veracity
labda kwa taarifa zaidi,,hili swala la kujihandle...precission si sehemu ote kwenye sehemu za mizigo.....wana vtoroli tu lakini gari zinazovuta mizigo ni swissport...kwenye swalal la kutamka ama kufwatilia dly ni swissport...kule dep precission hawana mamlaka ya kwenda kutangaza muda wa dly labda mungu arudi...so ukisikia wamejihandle sio sehemu zote br,still swiss wana plypart.....