Precision Air na poor customer service

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
jamani ilitakiwa niondoke na ndege ya saa 12 leo jioni kutoka dsm to arusha. Hawa watu wamenigandisha tu hadi watu wameanza kuingia kwenye ndege. Mwisho wananiambia ndege imejaa niondoke kesho. Jamani nimenuna hadi nahisi mdomo umekuwa mchungu
 
kaka uchumi umeyumba ndio maana unaona wanahangaika kuuza hisa, hawana tena uwezo wa kuendesha shirika

pole sana kaka
 
Vuta subira kidogo,utakasikia kale kawimbo kazuri ka zamani ka tangazo, kalikuwa hivi; ATC hewaaaaaaaani. Dege linaanza kuruka kesho baada ya kupata matengenezo makubwa.Kwa sababu iko moja, inabidi tusafiri kwa foleni.
 
jamani ilitakiwa niondoke na ndege ya saa 12 leo jioni kutoka dsm to arusha. Hawa watu wamenigandisha tu hadi watu wameanza kuingia kwenye ndege. Mwisho wananiambia ndege imejaa niondoke kesho. Jamani nimenuna hadi nahisi mdomo umekuwa mchungu

Mkuu usinune hiyo ni shibe imekuangukia mikononi, wewe nenda kwa lawyer udai fidia useme ulikuwa unawahi kuuza maua kutoka shambani kwako huko arusha thamani yake million 200 sasa yameharibika na huwezi kuyauza tena.
 
jamani ilitakiwa niondoke na ndege ya saa 12 leo jioni kutoka dsm to arusha. Hawa watu wamenigandisha tu hadi watu wameanza kuingia kwenye ndege. Mwisho wananiambia ndege imejaa niondoke kesho. Jamani nimenuna hadi nahisi mdomo umekuwa mchungu

Pole sana mkuu tarehe nane mwezi wa kumi nilikuwa natoka zanzibar kwenda mwanza ni connect dar hapo..asubuhi ndenge ya saa nne na nusu..kwanza nika miss ndege ya asubuhi so ilikuwa ni tatizo langu nikakodi Costor kuja dar.

Nikafika kwa wakti saa tatu..chacking time hiyo hiyo nikaingina kusubilia..ndege kwenda mwanza saa nne na robo nasikia wanasema ndege wameahirisha mpaka saa tisa jioni mie nilipanga kufika Mwanza saa nane...Jamani niligombana nao sana..almost wani off load...hapo nilikuwa
nina mpango wa kununua hisa zao..na wazo likakatika kabisa...na sio mara ya kwanz ahawa kukatisha safari za ndani kama vile tunasafiri
na nyehunge.....Hawa ndio wanataka kweli kuuza share zao...kwa watu na kuahirisha kwa flight nanman hii? Halafu tulikuwa watanznaia kama 40
hivi jamaa wanakubali tu...yaani kirahi rahisi tu.
 
Ww kama unaona precisionair ina huduma mbovu,jaribu daladala za mbagala zinaitwa '540'! Utatamani za mwenge posta,lol!
 
nilifikiri fly540 ni bora kuliko precission air.........mwenye data za kucompare makampuni haya mawili atuambie!
 
Acheni kuwa walalamishi.Hata airline kubwa wanafanya flight cancellation.What if kama ndege ina matatizo? Msing'ang'anie kuruka tu mnaweza msifike!!
 
precision wanaboa bwana,juzi nilikua nasafiri kutoka dsm kwenda ar,wakati tunacheck in wakawa wanamkatalia mdada ambaye ni mjamzito wanamwambia hadi akajaziwe medical form yule dada akawaambia mbona wakati nakata ticket hamkuniambia wakawa wanamjibu kijeuri yule mdada hadi tulimuonea huruma akaitwa supervisor wao kisichana chembamba huyo ndo jeuri kabisa,tukamwambia yule dada mjamzito asibishane nao achukue form akajaze,yule dada akaondoka analia kwani alikua anaenda arusha kumzika baba yake,sasa argument hiyo yote ilichukua mda eti sie tuliokua nyuma ya huyo dada tukaambiwa tusubiri ndege inayofata eti mda wa kucheck in umeisha.waliniboa sana hawa wati.hawana kauli nzuri kabisa,poor customer service...
 
Du hata hawa wameanza kuwa wasanii nanma hii, mie ndiyo maana nimeamua kuwa nasafiri na Najmunisa tu!!!!
 
jamani ilitakiwa niondoke na ndege ya saa 12 leo jioni kutoka dsm to arusha. Hawa watu wamenigandisha tu hadi watu wameanza kuingia kwenye ndege. Mwisho wananiambia ndege imejaa niondoke kesho. Jamani nimenuna hadi nahisi mdomo umekuwa mchungu

Tarehe 4/11/2011 nilikuwa niondoke kuja Arusha saa 12 jioni badala yake tuliondoka saa 2.30 usiku..................ATC need to come back to strengthen competition in this industry. Also need to shift to other providers lake Fly540 na wengineo kuwatia adabu hawa Precision
 
mi nilikuwa natoka zanzibar kuja dar asbh, tuligandishwa pale mpaka mchana tukajikuta abiria wa ndege tatu tumekusanyika, ilipofika moja tu ikawa kugombania kama daladala, kwanza wanakataza sie ambao hatuna ticket za connection kwenda nje tusipande kwanza waingie wale wenye connection za kwenda nje! Yaani ilibidi tupakizwe kwenye ndege yoyote yenye nafasi. nilijikuta nawekwa kwenye kasmall plane ka abiria wanne, huwezi hata kujitikisa kwenye hiyo ndege, mbaya zaidi kalichukua zaidi ya nusu saa kufika dar! waliniboa pia japo walitudanganya na lunch!
 
Hii yote ni uzembe wa serikali kuuwa ndege zake kwa sababu za UFISADI, sasa tusirudie tena makosa. Tuwekeze vizuri kwenye huduma nzuri kwa awamu hii mpya ya ATCL. pia tuwawezeshe 540 na Safari plus.
 
Acheni kuwa walalamishi.Hata airline kubwa wanafanya flight cancellation.What if kama ndege ina matatizo? Msing'ang'anie kuruka tu mnaweza msifike!!

kweli kabisa, ila precision mna PhD ya kuvura ratiba zenu wenyewe. Yaani huduma zenu hovyo kama za daladala za kwenda Mbagala na Gongo la Mboto ambako unaweza kukata daladala linakatisha ruti, kisa dereva kapigiwa simu na demu wake aliyemwambia hani nimekimiss
 
Acheni kuwa walalamishi.Hata airline kubwa wanafanya flight cancellation.What if kama ndege ina matatizo? Msing'ang'anie kuruka tu mnaweza msifike!!

mkuu, mtoa mada amezungumzia ndege kujaa. Flight cancellation kwa sababu za kiufundi na ndege kujaa havina uhusiano kabisa!
 
Bongo kwa ujumla customer care is very poor karibia sehemu nyingi wanazotoa huduma. But hata mashirika makubwa ya ndege mara kadhaa huwa na tatizo la kubadili ratiba tena mkiwa tayari mmeshachekiwa, lakini hiyo ya kichaga imezidi lol..tena wanachukua cheap labor watu wasio na elimu ya kutosha hasa kwa customer care.
 
nakubaliana na wewe mkuu staf wa Precision Air hawana elimu kabisa ni vilaza ile mbaya hasa kule Zanzibar ovyoo saaaan
 
Back
Top Bottom