Precision Air na biashara ya ndege kama daladala

YoungCorporate

JF-Expert Member
Apr 30, 2010
391
113
Precision Air wanaudhi kupita maelezo, ati wameoverbook watu yaani tupo airport, flight ya Kia - Nairobi, wanasema imejaa.

Sasa jamani kwanini wanafanya hii biashara kama daladala sasa mtu ulitarajia kufika Dar leo inabidi ufike kesho, huu ni ubabaishaji wa hali ya juu. Hw can u allow watu wengi kubook kuliko capacity yenu? agghh
 
Nchi haina Utawala wa Sheria, Wafanya biashara wanafanya watakavyo wakijua kuwa Serikali haiwezi kusema chochote kama ingekuwa nchi zilizoendelea Hiyo Kampuni ingeshafilisiwa kwa kustakiwa na wateja wanaodai fidia
 
huo mchezo hawajaanza leo!mm nilienda airport hapa dar,nkakuta counter imefungwa wakat mda ulikua bado kabisa!baada ya kukomaa nao ndio wakaniambia ukweli,ila siku hz nawah airpoet kichz!ukichelewa inakula kwako.
 
halafu hawa wafanyakazi wa precision hapa hawajui cha kufanya wanashangaa shangaa tu ati wanataka kutulaza kwenye lodge hapa jirani ya kia mpaka kesho. Wabongo kwa tamaa ww unajua ndege imejaa kwanini unaendelea kuruhusu watu wakonfirm safari. Nilijua ubabaishaji ni kwa gava tu kumbe huu ugonjwa upo kila kona.
 
kwanza pole
lakini sina cha kukusaidia ukiwa member wa hmu ndani maana kila mtu anajua matatizo ya precission wakati 540 iko na bei buree huduma safiiiiiii shida za nini tena waendelee killa siku kujaza
 
Ndege ya Mramba hiyo, je kuanzia lini umeona mchaga anaacha hela?
Mbona mnaleta uchagga hapa acheni ukabila na ubaguzi kila kitu utasikia wachagga...mna uonevu sana nyie watu acheni watu waishi kwa amani.
 
halafu hawa wafanyakazi wa precision hapa hawajui cha kufanya wanashangaa shangaa tu ati wanataka kutulaza kwenye lodge hapa jirani ya kia mpaka kesho. Wabongo kwa tamaa ww unajua ndege imejaa kwanini unaendelea kuruhusu watu wakonfirm safari. Nilijua ubabaishaji ni kwa gava tu kumbe huu ugonjwa upo kila kona.
Nilijua ubabaishaji ni kwa gava tu kumbe huu ugonjwa upo kila kona. Ahsante
 
Tanzania tunahitaji tuwe na mashirika mengi ya ndege ili iwe choice kwa wasafiri kuchagua asafiri na shirika lipi la ndege. Tukilipigia bango hili watafungiwa na tutabakia na shirika moja ambalo hatutakuwa na choice
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom