Precision Air: Biashara ya hisa iliishia wapi?

domokaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2010
3,545
1,719
Jamani hawa watu wa precision air ni matapeli au nini? Tangu wauze hisa na kusema watato vyet vya hisa zaidi yamiezi mitatu imepita vyeti hakuna wala hisa hazijaingia sokoni
 
Hivi hakukuwa na timeframe ya kukamilisha mambo hayo? Hata mimi nimeanza kuingiwa na hofu. Isije ikawa kama yale mabo ya manispaa ya Ilala na viwanja vya kinyerezi. Wamekusnya mkwanja halafu wakakimya!
 
Kuweni na subira wakuu. Mimi bado nasubiri gawio la TOL mwaka wa kumi huu, na cheti ninacho !!!!!!!!!!!!!. Mambo kibongo bongo.
 
Kifo cha wengi ni harusi, nimepumua baada ya kujua kwamba si mimi peke yangu niliyelizwa/nitakayelizwa.
 
Back
Top Bottom