Prado langu lina matatizo ya miss

chororingo

Senior Member
Jan 15, 2008
104
92
Naombeni Msaada. Nimenunua Prado KDJ95 engine 1KD. Lakini lina tatizo la miss wakati mwingine MISS inakuwa kubwa sana wakati mwingine inapotea kabisa. Tatizo litakuwa ni nini na nimwone nani hapa dar anaye weza litatua.
 
Nend pale magomeni mapipa makabala na mzunguko uliza fundi Rashid, ni bwana mdogo tu ila yuko fresh.
 
Kama uko mitaa ya Ubungo/Shekilango nenda pale NHC karibu na Kibona wa Medicinal plant mtafute fundi Michael mdogo, namba yake ni 0715 39 59 27, ni fundi mzuri na mwaminifu sana
 
Kama uko mitaa ya Ubungo/Shekilango nenda pale NHC karibu na Kibona wa Medicinal plant mtafute fundi Michael mdogo, namba yake ni 0715 39 59 27, ni fundi mzuri na mwaminifu sana

Asanteni kwa ushauri. Hivi haya magari kama PRADO fuel consumption yake kwa wastani huwa ni ipi? yaani lita moja inakwenda kilometa ngapi?
 
bwana mkubwa. Tafuta fundi ambaye ana ujuzi wa electronic engines. Normally lazima awe na computerized diagnosis tool ambayo hapa mjini nawafahamu watu wawili waliyo nayo ambao ni TOYOTA TANZANIA , na bwana mmoja anaitwa Kidedea anapatikana Kijitonyama. Namba yake ni 0754282964. Usijaribu kubahatisha kwa mafundi wa kujaribu kwenye haya magari ya kisasa. Tumia technology utatue tatizo once and for all.:angry:
 
... na bwana mmoja anaitwa Kidedea anapatikana Kijitonyama. Namba yake ni 0754282964. Usijaribu kubahatisha kwa mafundi wa kujaribu kwenye haya magari ya kisasa.../QUOTE]

Longing to meet some JF members there...
 
Asante sana Gabby kwa ushauri wako. Sasa naomba ufafanuzi hao jamaa wa TOYOTA gharama zao zikoje! kutatua hilo tatizo kwa wastani itagharimu kiasi gani. Nata estimates tu. kama kuna mtu unayemjua aliwahi kwenda pale unaweza nijulisha niwasiliane naye. nitashukuru sana kwa msaada wako.
 
Hi can you give me a price for injectors for a 2001 Toyota Landcruiser Prado model KH-KDJ95W and engine type 1KD-FTV, Diesel. Can you give me a price per injector, thank you.
 
Mimi nilibadili kwa gari kama hiyo mwaka 2010. Injector moja ilikuwa 800,000/=. Nilifanyia toyota tanzania. Total costs plus vat ilikuwa kama 4.0 million. Lakini kazi ilikuwa bomba. Nilikuwa naenda morogoro na kurudi kwa lita 40 tu. Fuel consumption ilikuwa nzuri sana. Sikujutia kwenda pale.
 
Back
Top Bottom