Practiclly i m possible!

Achani kumwabudu huyu jamaa nyie.... we lazima utakuwa mjaluo....

Umekosea Mkuu. Haabudiwi na wala hapa hatusujudu ukabila. Lakini usimwonee wivu kwa sababu he has achieved something you probably will never achieve. Alichokifanya ni kile kitu wanasema model ambayo sio vibaya kuitumia kama changamoto kwako ili uweke malengo pasipo hofu, manage your risk taking attitudes ukijua kwamba penye nia pana njia kweli. Usemi huo sio wajaluo waliousema kama kweli wewe sio mkabila utajua hivyo. Tunaupinga ukabila na roho yake yote unayoibeba wewe. History is a very good teacher. Where the past failed we manipulate the strategy ili kufanikiwa, where they succeeded we follow very closely kama kiungo cha kufacilitate mafanikio ya wakati wa sasa kadiri inavyofaa. Ndio maana mabinti wa primary school wanasema wanataka wawe kama Rose (Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa), kwa kufanya hivyo sio kwamba wanamwabudu na wala sio kwamba wanaosema hivyo ni wangoni. Yaelekea hujatulia mkuu, ukabila bado unakusumbua sana. Pole.
 
Obama yupi kazaliwa Afrika? au ndio joke yenyewe ?

Nadhani mwandishi alikuwa na maudhui fulani katika kuandaa habari hiyo, kama senema vile. Ukitaka kuifaidi movi usidadisi sana mambo, utaacha kuitazama maana mengi sana ni michongo tu kuunganisha habari. Inawezekana (Simtetei) akawa sahihi kwa sababu baba yake Barack ambaye ni OBAMA alizaliwa Africa, akaenda masomoni USA na kujinyakulia kimwana huko na kujipatia Barack (Mtoto) ambaye ndiye anayeimanage America. Binafsi sikuona amekosea sana kwa sababu Obama aliyezaliwa Ujaluo asingekuwepo basi na Barack asingekuwapo pia. Mtayarishaji hakutaka kusema OBAMA yupi, ila OBAMA.
 
Back
Top Bottom