mbasajohn
JF-Expert Member
- Mar 14, 2009
- 247
- 39
Leo n uzundiz wa sikukuu ya wakulima nane nane na nimemsikia wazir wa kilimo Pr. Magembe akidai kuwa pamoja na kushuka kwa bei ya tumbak kwenye soko la dunia lakn kushuka kwa thaman ya Sh n kama a sliver lining kwan wakulma bado wanapata pesa in sh kama au inayokaribiana na ile ya mwaka jana yaan karibu sh 3500.
Najiulza kama Pr. Magembe ana uhakika na hlo maana huku mtaan n kati ya Tsh 2000 na kushuka chn, sasa cjui kama anamansha nn anaposema kuwa kushka kwa Tsh n a siliver lining.
Najiulza kama Pr. Magembe ana uhakika na hlo maana huku mtaan n kati ya Tsh 2000 na kushuka chn, sasa cjui kama anamansha nn anaposema kuwa kushka kwa Tsh n a siliver lining.