Ppf/nssf claims

MASIKITIKO

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
959
428
Wadau naomba kuuliza,Unapokuwa umeacha au kuachishwa kazi na Muajiri na ulikuwa unakatwa makato hayo kama kawaida wakati wa ajira yako,baada ya kuachishwa ukaanza kujaza fomu za madai lakini Mwajiri akawa anakuzungusha kwenye kukupa hizo fomu za madai ulizojaza na kumuachia yeye ili akamilishe kuzijaza,JE Mwajiri akishindwa kukupatia hizo fomu ni hatua gani za kisheria unatakiwa kuzifuata?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom