Pozi la membe na msuya msibani.....

Si kuna tetesi kuwa eti ile dini aliyokuwa nayo tangu utotoni kaiacha sasa hivi anaitwa Khalfani
 
Ni husuda tu

nani mwenye husuda? kama mtu anayetamamni kwenda magogoni mina kila haki kama mtanzania kuchunguza mienendo yake maana tumechoka na wanasiasa wapenda sifa......utashangaaa kuona picha hii kwenye bango la kampeni mwaka 2015 limeandikwa MPENDA WATU WA DINI ZOOTEEEEE!
mix with yours
 
yaani kati ya watu wote walioko msibani umewaona membe na msuya tu? huyo mz msuya hapo umempandikiza tu lakini target yako ni membe. hiyo ni chokochoko a.k.a chuki binafsi. kila kukicha mnaanzisha mada kuh membe lakini wenye akili zao humu wanakupigeni makombora mpaka mnakoma. mnamtafuta membe toka kila pembe. mwacheni baba wa watu apumue. hana ma-scandal kama ya wengine wengi!
Nakubaliana na wewe Mkuu , mada au thread nyingine, samahani lakini, zina kaujinga ndani yake .
Sasa mtoa mada alitaka Mh. Membe afanye nini?
Kufika tu kwenye msiba na kuguswa ni heshima kubwa kwa marehemu.
Vitu vya kijinga jinga namna hii mvipime vichwani mwenu kabla ya kufika jamvini.
 
Nimependa BOOT la msuya ni kiatu cha ukweli na kiko ndani ya kalenda za kisasa...sio kama walivyo wengi wanavaa viatu vilivyopitwa na wakati... Hongera mzee Msuya fashion hazikupiti mbali...

he! we unaangalia buti tu, mwanafunzi?
 
Back
Top Bottom