Pozi la membe na msuya msibani.....

Kapwani

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
672
110
a45.jpg

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Benard Membe akiwa na waombolezaji katika msiba wa marehemu Sekou Toure ( CRDB Lumumba branch boss) nyumbani kwa marehemnu mtoni mtongani kijichi. Hapa wapo kwenye dua au sala kabla kuanza safari ya kwenda Kilimanjaro kwa mazishi.

..Mh Membe anajua analolifanya?

Mix with yours
 
umbea tu na kujifanya kuwa ni mwema mbele ya wananchi lakini kumbe ni fedhuli mkubwa.
 
yaani kati ya watu wote walioko msibani umewaona membe na msuya tu? huyo mz msuya hapo umempandikiza tu lakini target yako ni membe. hiyo ni chokochoko a.k.a chuki binafsi. kila kukicha mnaanzisha mada kuh membe lakini wenye akili zao humu wanakupigeni makombora mpaka mnakoma. mnamtafuta membe toka kila pembe. mwacheni baba wa watu apumue. hana ma-scandal kama ya wengine wengi!
 
a45.jpg

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Benard Membe akiwa na waombolezaji katika msiba wa marehemu Sekou Toure ( CRDB Lumumba branch boss) nyumbani kwa marehemnu mtoni mtongani kijichi. Hapa wapo kwenye dua au sala kabla kuanza safari ya kwenda Kilimanjaro kwa mazishi.

..Mh Membe anajua analolifanya?

Mix with yours
Nimependa BOOT la msuya ni kiatu cha ukweli na kiko ndani ya kalenda za kisasa...sio kama walivyo wengi wanavaa viatu vilivyopitwa na wakati... Hongera mzee Msuya fashion hazikupiti mbali...
 
Sio imani yao kufanya hivyo.....hata huyo Kazimoto wa COWI hapo nyuma hapigi duwa pia
 
JF kuna vijibweka, sala ni sala anayejua uhalali ni msaliji na asaliwaji
RIP Sekou Toure
 
Si ndio hapo sasa, katika msiba huu kuna meeengi ya kusema. Marehemu ni nani, amefariki vipi, inakuwaje mpaka Membe na Msuya wawepo etc.

Lakini watu wameenda kuona mikono ilivyowekwa na viatu. hebu fikiria msiba wako watu badala ya kutoa wasifu wako wanaanza kushadadia mikono ya watu ilivyokaa na viatu.
 
Nimependa BOOT la msuya ni kiatu cha ukweli na kiko ndani ya kalenda za kisasa...sio kama walivyo wengi wanavaa viatu vilivyopitwa na wakati... Hongera mzee Msuya fashion hazikupiti mbali...

Ni kweli, kiatu imetulia
 
yaani kati ya watu wote walioko msibani umewaona membe na msuya tu? huyo mz msuya hapo umempandikiza tu lakini target yako ni membe. hiyo ni chokochoko a.k.a chuki binafsi. kila kukicha mnaanzisha mada kuh membe lakini wenye akili zao humu wanakupigeni makombora mpaka mnakoma. mnamtafuta membe toka kila pembe. mwacheni baba wa watu apumue. hana ma-scandal kama ya wengine wengi!

Shame on you! nimchukie membe ananisaidia nini? mimi ninamjua membe kama kiongozi wangu tu na si vinginevyo?
nimemuingiza yeye kwa sababu ni kiongozi anaevizia kuingoza nchi yangu...nimemuweka msuya kama mtu aliyestaafu siasa, hana cha kuloose wala kugain kwa sasa.....mapozi ya mtu mwenye matarajio na aliyestaafu wenye imani moja msibani .....mapozi tofauti yanachakufundiusha?

mix with yours
 
Si ndio hapo sasa, katika msiba huu kuna meeengi ya kusema. Marehemu ni nani, amefariki vipi, inakuwaje mpaka Membe na Msuya wawepo etc.

Lakini watu wameenda kuona mikono ilivyowekwa na viatu. hebu fikiria msiba wako watu badala ya kutoa wasifu wako wanaanza kushadadia mikono ya watu ilivyokaa na viatu.

Mikono ingewekwa mfukoni au kwenye bakula chakula nisingedauti nia ya membe.......NIMECHOKA NA SIASA UCHWARA
 
Membe ni populist leader kama mtu fulani.............
Kajuaje kuweka mikono yake namna hii????

kumbe wewe wajua! hapa tunauzwa tena kwa bei nafuu kabisa..bei ya jioni....anasaka kula !

mix with yours
 
Siyo kawaida vigogo kama hawa wahudhurie mazishi ya Manager wa tawi fulani tu la Benki. Huyu marehemu atakuwa amefanikisha kitu fulani muhimu sana kwa manufaa ya CCM na Serikali katika wadhifa aliyokuwa nao wakati wa uhai wake.
 
Jamani Lumumba pale ndiko CCM ndogo ilipo na trans zao zoote zapita crdb,cheki zote anazipitisha yeye....pia anaweza kuwa jamaa yao tu hasa Msuya maana marehemu nae ni Mpare!
 
hujawaona wale wamama kwenye far back? wamekumbatia bangili zao! misiba tunashiriki watu wa dini zote, kutokana na utamaduni wetu wa kushiikiana kabla wazungu na waarabu hawajatuletea dini! kwani waislamu wakiingia kanisani kwenye msiba wanafanya ishara ya msalaba? haipendezi sana kuhukumu wenzio kiimani ndugu,usimsaidie mungu wako kazi!
 
Back
Top Bottom