pozi gani hizi mtoto wa kiume kwenye kibao kata!!!!!

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,102
15,996
naona jamaa bonge la handsome lakini vipi sijui sielewi
38785_1478651919242_1022082755_1422985_5169110_n.jpg
 
umeitoa wapi?...unatembelea blog za wadada na wewe eenhe??tukuelewe vipi na wewe???:bowl::smile:
 
we bana vipi mbona unakua mkali hivo?huwa nakosha macho kule we hulali?ama hujapata mambo yetu yaleeee!!:smile:.nije:bathbaby:?
 
Sio rizki huyo au kaka poa.Inabidi tuige sheria za jirani zetu Waganda.
 
Huyu Henry ni Shoga:doh:
kweli?when i saw him first time in suit i thought what a good looking guy
lakini leo nimemkuta ktk pozi za ajabu tena kwenye kibao kata nikachoka,wajanja washaharibu hapo kumbe lol.
 
mapozi haya nimezoea kumuona anti bilal,,sasa huyu tena!hawa vijana sijui wanakula nini kinawaharibu.wapi BOFLO?
 
BK dont judge too quick, yawezekana ni mwalimu wa mamiss au wanamitindo so alikuwa anawaelekeza namna ya kupoz ndo wakamphotoa picha jamani, sidhani kama ni bwabwa ila kama ndiye, dah! aende kuzimu tu.
 
Dah huyu si riziki,sasa huyu baba yake nae anasema ana mtoto wa kiume ?.
 
BK dont judge too quick, yawezekana ni mwalimu wa mamiss au wanamitindo so alikuwa anawaelekeza namna ya kupoz ndo wakamphotoa picha jamani, sidhani kama ni bwabwa ila kama ndiye, dah! aende kuzimu tu.
Kama kazi yenyewe ni pamoja na kupozi kama hivyo...bora kuwa mmachinga.
 
BK dont judge too quick, yawezekana ni mwalimu wa mamiss au wanamitindo so alikuwa anawaelekeza namna ya kupoz ndo wakamphotoa picha jamani, sidhani kama ni bwabwa ila kama ndiye, dah! aende kuzimu tu.
...Papaaa huyo anatoka DRC jamani si unajua tena wazee wa makambo libala mboka makolo liboko nangai bandekoooooo!:bathbaby:
 
Back
Top Bottom