PowerBreak Fast Clouds FM na CD ya Ngono

The Emils

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
568
124
Leo Asubuhi ktk Clouds FM kipindi chao cha power breakfast..Gerarld anamwambia Pj..umeona ile cd ya xx ya South Africa kuhusu yule kijana wetu yule..Pj kamwambia bado halafu Gerald kamjibu kama anahitaji atamletea tena inauzwa Dar kwa shilingi 2000..Sasa wana Jf hawa kina Pj wameamua kuweka mambo hadharani yaliyotea BBA au?
 
stupid thread,
 
alidhani rijamaa ringetangaza ndoa...teh teh tehhhh...wanamegwa wanaachwa, wanachezewa ..!! shame on her.
 
Leo Asubuhi ktk Clouds FM kipindi chao cha power breakfast..Gerarld anamwambia Pj..umeona ile cd ya xx ya South Africa kuhusu yule kijana wetu yule..Pj kamwambia bado halafu Gerald kamjibu kama anahitaji atamletea tena inauzwa Dar kwa shilingi 2000..Sasa wana Jf hawa kina Pj wameamua kuweka mambo hadharani yaliyotea BBA au?
Kuweka vipi hadharani wakati mambo yalishakuwa hadharani, sema huyo binti ahangaike kunakohusika apate asilimia yake ya mauzo....Si alitaka chai, chai....
 
kumbe ndo hiyo?? Niliwasikia lakini sikujua ndo hiyo CD! Poor girl now awaite wadau wote waliokuwa wanamtetea wamfariji ss! yaani
 
umaarufu kunuka alioutaka sasa inakula kwake...bint mpumbavu kuliko wote..eti ohh mie sikuenda kuiwakilisha tanzania...katutia aibu mpaka hamu hatuna...now its her turn to taste the bitter side of her stupidity..pumbavu sanaaa.... nikiipata naweka online kila mtu amuone akijitia aibu
 
Kuweka vipi hadharani wakati mambo yalishakuwa hadharani, sema huyo binti ahangaike kunakohusika apate asilimia yake ya mauzo....Si alitaka chai, chai....
asilalamike mdomo unaungua au sio...
 
Tena, kiungwana, wanatakiwa wantengeneze hivi: zile clip zake za kuongea pumba alipo rud unaziweka mwishon mwa hyo Sodoma yake, mwanzon unaweka ile clip yke ya kwny 5 connecta akisema "5 connect the real connection" alaf picha linaanza. Pambaf! Atameza matapishi yake.
 
That ifthough shalt confess with thymouth the Lord Jesus, andshalt believe in thine heart thatGod hath raised Him from the......dead, thou shalt be saved.For whosoever shall call uponthe name of the Lord shall besaved.Romans 10:9, 13.
 
tatizo letu kubwa ni kuchukulia kilichofanyika huko bba ni kutendwa, ntausimamia ukweli huu 'hawa walitendana, kwani walikubaliana wote na hapa isionekane kuwa ni aibu kwa kuwa wetu ni mwanamke, mbona mwaka jana tulikuwa tukijisifu kwa alichokifanya mwakilishi wetu wa kiume. Ni vizuri sasa tukatambua kuwa linapokuja suala la 'kulo mbana', msingi mkuu ni kwa jinsi zote na hakuna jinsi shupavu, vinginevyo mngefurahi kama angejisaga au wa mwaka jana angejichua. Badilisheni misimamo juu ya kuudharau utu wa mwanamke.
By the way, hiyo ni reality show na wametoa tahadhari juu ya umri, heshima ni kwa wote
 
Back
Top Bottom