Power station(yenye kuhifadhi umeme kwa matumizi madogo)

TZ biashara

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
523
107
*******************
1.Battery gel battery: 12V / 7A
2. Small voltage Sockets:Battery gel battery: 12 v / 7 Ah
Small voltage Sockets:
a. 3 volt
b. 4.5 volt
c.-6 Volt
d. 9 volt
e. 12 volt
3. Car Socket 12 volts / 10 Ah
4. Schraubanschlusse 12 volt / l 5 Ah max. 2 min. Hii ni mashine ndogo ambayo inauwezo wa kuhifadhi umeme wa dharura kwa matumizi madogo.Matumizi yake ni kama kuweza ku-charge simu au laptop na hata pia inauwezo wa kuwasha taa vilevile lakini sio nyumba nzima ila kama ni chumba kimoja.Kwakuwa sio mtaalamu sana wa vitu hivi kwahiyo sina maelezo mengi sana lakini kwa hayo yataweza kufahamika.Nimeinunua uingereza na niliwahi kuitumia kwa kuijaribu mara moja tu na ilikaa kwa miaka miwili kwahiyo haina box lakini ni kizuri hakina tatizo.Naiuza pamoja na adaptor yake na ipo DAR na bei yake ni shs 120,000 na kwa mwenye kuhitaji tafadhali mpigie Habibu 0717810318. PowerCube.jpg 149150613_441d6c0051_o.jpg
 
Hii ni mashine ndogo ambayo inauwezo wa kuhifadhi umeme wa dharura kwa matumizi madogo.Matumizi yake ni kama kuweza ku-charge simu au laptop na hata pia inauwezo wa kuwasha taa vilevile lakini sio nyumba nzima ila kama ni chumba kimoja.Kwakuwa sio mtaalamu sana wa vitu hivi kwahiyo sina maelezo mengi sana lakini kwa hayo yataweza kufahamika.Nimeinunua uingereza na niliwahi kuitumia kwa kuijaribu mara moja tu na ilikaa kwa miaka miwili kwahiyo haina box lakini ni kizuri hakina tatizo.Naiuza pamoja na adaptor yake na ipo DAR na bei yake ni shs 120,000 na kwa mwenye kuhitaji tafadhali mpigie Habibu 0717810318.View attachment 66577View attachment 66578

Mkuu ebu weka specification zake: power (KVA/Hp), frequency, Voltage, current n.k.
 
Charge inadumu muda gani mkuu? Nimekapenda,nipo Arusha nitaipataje?

1.Battery gel battery: 12V / 7A
2. Small voltage Sockets:Battery gel battery: 12 v / 7 Ah
Small voltage Sockets:
a. 3 volt
b. 4.5 volt
c.-6 Volt
d. 9 volt
e. 12 volt
3. Car Socket 12 volts / 10 Ah
4. Schraubanschlusse 12 volt / l 5 Ah max. 2 min.

Mkuu nimejaribu kutafuta hii labda itasaidia ila hilo neno la mwisho ni la kijerumani nadhani sasa sijui maana yake,kwasababu siko nayo hiyo mashine nimemkabidhi mtu Dar.Lakini kukusafirishia Arusha mkuu wangu itakuwa ngumu kwangu au kwa urahisi zaidi ikiwa kama una mtu unamfahamu Dar basi mtumie hela kwa mpesa halafu akusafirishie ktk basi.
 
Mkuu ebu weka specification zake: power (KVA/Hp), frequency, Voltage, current n.k.
1.Battery gel battery: 12V / 7A
2. Small voltage Sockets:Battery gel battery: 12 v / 7 Ah
Small voltage Sockets:
a. 3 volt
b. 4.5 volt
c.-6 Volt
d. 9 volt
e. 12 volt
3. Car Socket 12 volts / 10 Ah
4. Schraubanschlusse 12 volt / l 5 Ah max. 2 min.

Mkuu nimejaribu kutafuta hii labda itasaidia ila hilo neno la mwisho ni la kijerumani nadhani sasa sijui maana yake,kwasababu siko nayo hiyo mashine nimemkabidhi mtu Dar
 
Inakaa mda gani na charge

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom