Power of Man,Weakness of woman!

Judge bana, sijaelewa lakini nimecheka.

Yaani nimemaanisha hadi ifikie mwanaume anabakwa huyo ni dabwada mdebwedo ! Ndiyo wale akina "KAKA JAMBAZI HUYU HATAKI KUN'NANIHII !" si unakijua kisa hicho ? Cha "kaka jambazi"
 
Umezaliwa mtoto wakike Baba yako kakuona unafanana na mamayake anaamua kukupa jina la Mamake!!umekuwa umepata mchumba mnataka kuoana madhebu yenu yanatofatuana!Mchumba anakwambia badili dini uwe mkristo unabadili dini na yeye anakuchagulia jina!unasahau kuwa jina lile lilikuwa niukumbusho wa bibiyako!Hapo wanaume tuna nguvu za ajabu nanyie wanawake mjijue ni wadhaifu kelele nyingi kwenye majukwaa ila nguvu za asili tulizonazo hamuwezi kuzibadili.

Ebwana hii habari yako haina usahihi hata kidogo, suala la kubadili dini baina ya wapendanao halimaanishi nguvu aliyonayo mmoja wenu ila ni makubaliano baina ya wahusika kwani wewe hujawahi kusikia mwanaume kabadili dini kumfuata mchumba wake, hakuna nguvu ambazo alipewa mwanaume ili kumuonea mwanamke na hata Biblia inapozungumzia suala la mwanaume kuwa kichwa cha nyumba haiimaanisha kumnyanyasa mwanamke ila ni mgawanyo wa majukumu kwani kuna mahala mwanamke naye kapewa nafasi yake.
Suala laubabe katika mapenzi hilo halina hata haja ya kulizungumzia kwani kwa ufupi limepitwa na wakati.
 
mh!kuna tabia ya ajabu ambayo nimeona wanaume wengi tu wanayo ss hivi,ya kupenda kulelewa.sasa hata mnapojisifia sifa zenu hazina mashiko coz wapo wenzenu wanawaangusha kweli.yan unakuta mwanaume anapenda mteremko.kufanya kazi hataki na hata kama nafanya hajiamini mpaka apate jimama la kumlea.hiyo moja.haya na hao maGAY je?si tunaona mpaka wanaume wenzenu D.Cameroun wanataka mashoga watambulike!yan mnataka kuwa kama wanawake.AIBU ILIOJE??sioni cha kujisifia hebu poteeni
 
Umeamua kutukana hadi boyfriend wako??kaka yako.and other's kwanini u-generalize hii kitu??Wanaopenda kulelewa kama unawafahamu au na wewe ulishalea nasasa umechoka basi wewe ndiye uliyeendekeza kwenye hii kitu!kama ni Gay hao ni maamzi yao binafsi na siwezi kuwaingilia na kuwambia acha!Kilichopo ni hivi nikwamba yule anayekuwa nanguvu niyule aliye upande wenye nguvu haijalishi hata wanawake walioolewa na wanawake wenzao tumeona wanabadilishwa majina na mwanamke mwenzao!!Ma Gay wanabadilishwa majina na mabasha wao so it is look like anyone who is underperson anakuwa ananguvu yakiasili wala kukataa ilimradi anamilikiwa na mtu!hii ndo logic!
 
Za kwako kakakiiza?..personaly,i dont see it as a weakness,but a strength to stand on what she belives in,have you ever thought of mtu ambae hapendi mfumo wa dini yake hivyo hata kwenye vigezo vya mume,hataki wa dini yake?.so,inaeza kuwa weakness pale tu anapojua(deep down)that she is not doing the right thing ila anafanya kumridhisha the other side..
 
Ebwana hii habari yako haina usahihi hata kidogo, suala la kubadili dini baina ya wapendanao halimaanishi nguvu aliyonayo mmoja wenu ila ni makubaliano baina ya wahusika kwani wewe hujawahi kusikia mwanaume kabadili dini kumfuata mchumba wake, hakuna nguvu ambazo alipewa mwanaume ili kumuonea mwanamke na hata Biblia inapozungumzia suala la mwanaume kuwa kichwa cha nyumba haiimaanisha kumnyanyasa mwanamke ila ni mgawanyo wa majukumu kwani kuna mahala mwanamke naye kapewa nafasi yake.
Suala laubabe katika mapenzi hilo halina hata haja ya kulizungumzia kwani kwa ufupi limepitwa na wakati.

KakaKiiza naomba usome hapa mara mbili mbili.
 
Za kwako kakakiiza?..personaly,i dont see it as a weakness,but a strength to stand on what she belives in,have you ever thought of mtu ambae hapendi mfumo wa dini yake hivyo hata kwenye vigezo vya mume,hataki wa dini yake?.so,inaeza kuwa weakness pale tu anapojua(deep down)that she is not doing the right thing ila anafanya kumridhisha the other side..
Tracy umesema ila at the end of the day umerudia nachosema ati!you can't doing something for a pretending while you have changed your name!for some one!

KakaKiiza naomba usome hapa mara mbili mbili.
Sina chakusoma naona ni msimamo siyo jibu la swali na wala siyo hoja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom