Power of love

Naomba ueleze kwa kutumia mistari isiyopungua mitano.Pesa ina mchango/jukumu gani kwenye hii concept ya power of love?

katika hii concept pesa si muhimu. Kama ambavyo umeelezea kuwa POL inainclude ability ya kuface
difficulties zote katika mahusiano, na mojawapo yaweza kuwa kuyumba kifedha; hivyo kwa mtu mwenye POL hatoipa pesa nafasi kubwa katika mahusiano yake. Nimeeleweka?
 
Do you have that? I mean that power to love someone n going extra mile to do even bad thing for the sake of ur love?

Kaunga,good question,yes personally i think i have that willingness.Have i done that?possibly,knowingly or unknowingly.What about you Kaunga?
 
katika hii concept pesa si muhimu. Kama ambavyo umeelezea kuwa POL inainclude ability ya kuface
difficulties zote katika mahusiano, na mojawapo yaweza kuwa kuyumba kifedha; hivyo kwa mtu mwenye POL hatoipa pesa nafasi kubwa katika mahusiano yake. Nimeeleweka?

Umeeleweka nakupa 85% plus ka-like.Sasa unaweza anza ku-attempt hiyo assignment japo kuna michango ya wataalamu zaidi itakuja.
 
Umeeleweka nakupa 85% plus ka-like.Sasa unaweza anza ku-attempt hiyo assignment japo kuna michango ya wataalamu zaidi itakuja.

si ungenipa hata 99percent. Nishaanza kutype huku nasubiri majibu zaidi. Ahsante
 
what if a person is willing to protect his/her love but has no ability, ile willingness yake itatosha kuconclude kuwa he/she has power of love?

I think so HUSNINYO,it is that willingness within someone's inner beliefs can conclude that he/she has the power of love.I did read the lyrics of a single POWER OF LOVE by HUEY LEWIS in 1985 Blockbuster movie called BACK TO THE FUTURE and i believe regardless of someone's status/ability in this world it can conclude the power of love,yes.If you can find this movie please do watch it and come back to me with a PM.
 
Nisaidie kwanza mifano ya bad things!

Kaung,ngoja nikujibu kwa kuuliza swali kama mfano mdogo,kipindi cha foolish age yako(i believe kila mtu ana foolish age)ulifanya vitu gani ambavyo labda hata wazazi hawakupendezwa navyo kuhusu mapenzi.Ukijibu hapo utapata bad things watu wanafanya for the sake of love.
 
Hus,

Unataka kuwa msukule wewe??

Naamini siku kuu imeisha salama!!

Babu DC!!
 
Kaung,ngoja nikujibu kwa kuuliza swali kama mfano mdogo,kipindi cha foolish age yako(i believe kila mtu ana foolish age)ulifanya vitu gani ambavyo labda hata wazazi hawakupendezwa navyo kuhusu mapenzi.Ukijibu hapo utapata bad things watu wanafanya for the sake of love.

Aisee mimi nilikuwa nabehave wewe; huwezi amini hadi waliniita GG meaning good girl! Tuache hayo, hiyo ya foolish age, mimi siamini kuwa ni interpretation ya power of love, katika age hiyo kuna exploration za kutosha tu, na si zinazohusiana na sex, drinking, disco, smoking au nini lakini kubishana na wazazi. kwani katika age hiyo vijana hujiona wanajua kila kitu na wazazi wao wamepitwa na wakati. So l would say ni power ya ujinga na si ya love.

I know l can steal for my son, siwezi muona mwanangu anakufa njaa (of course kama hakuna option nyingine kabisa). Naweza uwa kwa kumdefend mtu ninayempenda. So kama hiyo ndio kufanya mabaya kwa unayempenda surely l will do it.
 
Ahsante kwa michango yenu. Kazi nishaisubmitt.
Babu dc nakusalimu.
 
Burn hii video kwenye DVD submit.

Last edited by a moderator:
The power of love is lack of power
to control ur emotions to see logic
nor reason when it comes on ur fellow being.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom