Power of Attorney: Rostam Aziz the bigger winner in Dowans settlement

Kuna jamaa yangu aliwahi kufanya kazi Quality Group (mali ya tajiri kijana) anasimulia jinsi umafia unavyofanyika.

Anasema RA na group yake ya mafia anakawaida ya kutunza kumbukumbu ya deal chafu anazofanya na viongozi.
Anatumia vinasa sauti au picha, vimemo kutoka mamlaka za juu, voucher, makubaliano yasiyo rasmi n.k
Mnakumbuka Mtikila alipojifanya kurusha mawe kwa RA, ikaonekana kumbe nae huwa anakinga bakuli pale.

Anatumia ushahidi huo kuwa-black mail viongozi kiasi kwamba wanajua kumwangusha RA ni kujiangusha wao wenyewe.
Hakuna hela anayotoa kusiwe na kamba (string) nyuma yake whether wewe unayepewa unajua ama la.

A couple of weeks ago RA aliwaamuru Vodacom wa-draw Tzs 350 millioni (sijakosea ni mia tatu hamsini millioni in Cash) toka Citi Bank.
Wazungu wa vodacom wananung'unika chini kwa chini tu wakijiuliza where on earth is he taking this money, wanamwogopa kama ukoma.
350m in cash bila maelezo ya unataka kuzifanyia nini, bado mnadhani mfumo wetu wa fedha ni salama!!!!!!!

Kwa hiyo msishangae alipomwambia Mr Lottering kwamba "something would happen" to him if he did not sign the POA. Wanaogopa kupigwa PI wakimkorofisha!!

The guy simply runs the show maana wawekezaji (uchwara) wanamwogopa kama ambavyo kina Mkapa, JK, UWT, Polisi na CCM wanavyomwogopa.
Kundi pekee la kutuokoa hapa ni Nguvu ya Umma.
 
In power of attorney, there attorney-in-fact and special power of attorney. Attorney-in-fact is someone specifically named by another through a written "power of attorney" to act for that person in the conduct of the appointer's business. In a "general power of attorney" the attorney-in-fact can conduct all business or sign any document, and in a "special power of attorney" he/she can only sign documents or act in relation to special identified matters. In short, attorney-in-fact has extensive powers, whereas the powers of a special attorney are limited.

So, if Rostam Aziz was attorney-in-fact as alleged, it means that he had powers to conduct all Dowans business and sign any document in which Dowans had interest.
Thanks:clap2::clap2:
 
Hi

Naipenda JF-soon will submit my contribution to make it survives for 100 yrs to come!

By the way, hata usalama wa Taifa haukuona/hauoni haya mambo! Askari aliyejitokeza wakati wa election campaign na kuonya kuwa amani ya Tanzania italindwa kwa nguvu zote, leo yuko wapi awakamate hawa for the sake of Country's Peace! Au hata kutoa precautions kuwa amani ya Tanzania inaweza kuvuruguwa na hawa vibaka na kujuchukua hatua zinazofaa kabla ya Umma wa Tanzania kuamua vinginevyo!
 
Ruling party MP wins big in Dowans settlement

The directors granted power of attorney in favour of Mr Aziz
By Joint Report
Posted Monday, January 31 2011 at 18:31

......it goes further to give Mr Aziz, the immediate former CCM treasurer and shareholder in the short lived RVR Rail Consortium that brought together Kenya and Uganda railways,.....

Jamaa ni kiboko kwa hiyo kila mahali yumo.....lakini Kenya hawana mambo ya kubebana ndio akshindwa
 
Kuna jamaa yangu aliwahi kufanya kazi Quality Group (mali ya tajiri kijana) anasimulia jinsi umafia unavyofanyika.

Anasema RA na group yake ya mafia anakawaida ya kutunza kumbukumbu ya deal chafu anazofanya na viongozi.
Anatumia vinasa sauti au picha, vimemo kutoka mamlaka za juu, voucher, makubaliano yasiyo rasmi n.k
Mnakumbuka Mtikila alipojifanya kurusha mawe kwa RA, ikaonekana kumbe nae huwa anakinga bakuli pale.

Anatumia ushahidi huo kuwa-black mail viongozi kiasi kwamba wanajua kumwangusha RA ni kujiangusha wao wenyewe.
Hakuna hela anayotoa kusiwe na kamba (string) nyuma yake whether wewe unayepewa unajua ama la.

A couple of weeks ago RA aliwaamuru Vodacom wa-draw Tzs 350 millioni (sijakosea ni mia tatu hamsini millioni in Cash) toka Citi Bank.
Wazungu wa vodacom wananung'unika chini kwa chini tu wakijiuliza where on earth is he taking this money, wanamwogopa kama ukoma.
350m in cash bila maelezo ya unataka kuzifanyia nini, bado mnadhani mfumo wetu wa fedha ni salama!!!!!!!

Kwa hiyo msishangae alipomwambia Mr Lottering kwamba “something would happen” to him if he did not sign the POA. Wanaogopa kupigwa PI wakimkorofisha!!

The guy simply runs the show maana wawekezaji (uchwara) wanamwogopa kama ambavyo kina Mkapa, JK, UWT, Polisi na CCM wanavyomwogopa.
Kundi pekee la kutuokoa hapa ni Nguvu ya Umma.

Jamaa ni kama PABLO ESCOBAR
 
Mi jamani na shangazwa ivi kweli tanzania ndo tumifikia kiasi hiki hadi mtu kama RA kwa kutumia vijisenti vyake ndo anze kuvuruga nchi!how!hapa dawa ni kuaply utunisia tu.
 
1. hivi huyu RA ametokea wapi? ==> IRAN
2. na ilikuwaje Watu wa Igunga wakampa Nafasi ya Kuwawakiisha Bungeni ==> Alivaa ngozi ya kondoo na kujifanya mwenzao, akaomba kuwawakilisha kwa kuwaahidi maendeleo kede kede .
3. Kuna wakati fulani Mch. Mtikila alitaka kuongea kitu fulani, sijui imeishia wapi? ===> Ukimgusa unaweza ukapatwa kitu kibaya , hivyo mch. ilibidi anywee ( ref. yule jamaa wa Tanesco aliyesaini kwa kutishiwa ..)

4. hivi Hatuwezi kumfukuza Nchini? ===> Hatuwezi maana yeye yuko CCM , NEC, CC , na Bungeni , na ame influence sheria nyingi zielekee anakotaka, hivyo tukifamya hivyo ICC itatubamiza tena mara mia ya DOWANS
5. Je ni kweli alikuwepo tangu enzi za utawala wa rais mstaafu BWM ==> Alikuwepo kama mweka hazina wa CCM
6. au kuna Nchi inamtumia huyu RA kuitawala TZ yetu? ==> TISS wanajua labda taarifa bado hazijajitoshelea kwa wao kuweza kusema .
7.historia itawahukumu ==> Obvious

Its about time you begin to think outside the box. Watunisia kama wangekuwa wanafikiri kama wewe leo wangekuwa na Ben Ally.

Rostam anaweza kufukuzwa nchini wakati wowote wananchi tukiamua. Narudia tena Rostam anaweza kufukuzwa nchini na tukapewa hongera na the western world kama ambavyo Tunisia wanavyosifiwa leo.
 
Jamani huko bongo hilo gazeti la East Africa lilobandika habari ya link ya Dowans na RA linapatikana mitaani? Au mzee mwenye fedha kanunua magazeti yote?
 
Ni pale ambapo JK alipopata kigugumizi kutamka iwapo anaifahamu Dowans au lah akaishia kusema " yeye kama Rais wa nchi haijui" kwa maana nyingine hana hata muda wa kuchunguza kwa nini Dowans ambayo awali Ngeleja alidai wamiliki wake si watanzania lakini walimteua Rostam kuwawakilisha kwenye mkataba na Tanesco na kwa nini Rostam huyo huyo alitumiwa na Richmond kama ofisi ya mawasiliano. Ni wakati huo huo Mr. Henry Surtees ( mwandisi wa ujenzi aliyeajiriwa na
 
Back
Top Bottom