Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,409
- 6,555
nitakuadithia lakini unipe pesa kwanza
we nawe kwa pesa...msaidie mwenzako
nitakuadithia lakini unipe pesa kwanza
we nawe kwa pesa...msaidie mwenzako
binafsi nimemsikia tuu..simjui hata anafananaje?
nitakuadithia lakini unipe pesa kwanza
amna nouma masai dada nakusubiria
nitakuadithia lakini unipe pesa kwanza
nipe intro basi ya kuwahamasisha vijana
huogopi hiyo picha
power mabula anabeba tani kumi za mzigo wowote alikuwa na nguvu nyingi........
story za abunuasi na mfalme juha unazijua .? nitakupa zote
sizijui za kina abunuas
1 tumalize hii kwanza ya power mabula
Sijui yupo wapi jamani,alikuwepo mwingine power mangwana,,power Mwanza,sijui wapo wapi?natamani siku nisikie stor za pawa mabula