Makonyagi
Member
- Apr 16, 2009
- 40
- 1
Wakubwa nipo ulevini
Ila nimeirusha hii baada ya kuona DECI imeshazama hatimaye baada ya wadadisi na wadakuzi kuichambua inavyopaswa.
Mnaifahamu hii POWER CLUB??
watu wanaliwa kimya kimya maana bora hao DECI kuna waliowahi kuvuna ila ktk hii klabu ambayo imejichimbia mizizi ktk makanisani (PCT) sijawahi kuona hata kusikia mtu aliyefaidika sana sana wanakushawishi ujiunge kwa feki evidensi. Kila kitu kinafanywa kwenye intaneti.
Kuna ofisi yao moja naijua ipo pale faya ila imejichimbia haswa....
Hic!
Naamini kuna weledi humu, naomba wamwage data kuhusu hii DECI ya kisomi zaidi.... BOT mpo?
Kata ishu