Power breakfast ya clouds mnaaibisha

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
127
Leo katika kipindi cha power breakfast kinachorushwa na redio ya clouds walimualika meneja wa mawasiliano wa bandari ndugu Mzirai ili kuongelea suala la magari yanayokwepa kodi kwa njia ya kuingizwa kama transit.

Tumewasikia ila mliyoyaongea ni utumbo na aibu kwa kamishna wa TRA. Utaratibu ni kwamba kuna kitengo kinachodeal na magari ya transit wanajukumu la escort magari yanayotoka nchini na ndio maana pia ya vituo vya TRA kama kile cha misugusugu. Ikiwa takwimu za TRA zinaonyesha magari yamevuka mipaka ya nchi halafu yanakuja kukamatwa mitaani tena magari 9000 hii ina maana vijana wa TRA wanakula mlungula wa maana! wanagongesha gari zimevuka kumbe zipo mijini zinapiga kazi! TRA wasifanye maamuzi yatakayofukuza wateja katika bandari yetu ila ideal na wafanyakazi wake tu naamini kila kitu kitaenda sawa. Wasiofaa wawajibishwe na kuwakumbatia ni ufisadi!
 
Points za kuanzia na kumalizia monitoring ya magari hayo zinaeleweka (wahudumu wake wanaeleweka). Polisi na Takukuru wafanye wajibu wao, siyo kwenye siasa tu. Huko ni kuihujumu nchi.
 
badilisha heading basi mkuu....anayeaibisha ni TRA sio power breakfast
 
Leo katika kipindi cha power breakfast kinachorushwa na redio ya clouds walimualika meneja wa mawasiliano wa bandari ndugu Mzirai ili kuongelea suala la magari yanayokwepa kodi kwa njia ya kuingizwa kama transit.

Tumewasikia ila mliyoyaongea ni utumbo na aibu kwa kamishna wa TRA. Utaratibu ni kwamba kuna kitengo kinachodeal na magari ya transit wanajukumu la escort magari yanayotoka nchini na ndio maana pia ya vituo vya TRA kama kile cha misugusugu. Ikiwa takwimu za TRA zinaonyesha magari yamevuka mipaka ya nchi halafu yanakuja kukamatwa mitaani tena magari 9000 hii ina maana vijana wa TRA wanakula mlungula wa maana! wanagongesha gari zimevuka kumbe zipo mijini zinapiga kazi! TRA wasifanye maamuzi yatakayofukuza wateja katika bandari yetu ila ideal na wafanyakazi wake tu naamini kila kitu kitaenda sawa. Wasiofaa wawajibishwe na kuwakumbatia ni ufisadi!

Hii issue inajulikana, hata watu wa Usalama wa Taifa, Ikulu, Polisi na TRA wenyewe wanaijua. Tena walisema wameshaimaliza, kumbe ilikuwa geresha?

Tanzania bila Ufisadi haiwezekani, lakini bila UKIMWI inawezekana!

31 Oktoba 2010 tusirudie makosa!
 
Back
Top Bottom