Nawapongeza sana Power Breakfast team kwa siku ya leo asubuhi Tarehe 24/November/2010 Mlipozungumzia kuhusu swala la TANESCO.....Mmeongea point kabisa....(Watu wamezoea kufanya kazi kwa MAZOEA tu, Wanawafanya Watanzania WAJINGA, hawaoni,....WANAKAA MAOFISINI na kuanza kuperuzi FACEBOOK, Websites za ngono, kutuma e-mail BADALA YA KUWAJIBIKA na KUTAFUTA SOLUTION za TATIZO la LUKU na UMEME kwa UJUMLA,....Engineer muha....ni garasha tu, TANESCO yenyewe ni ile ya Mwalimu NYERERE, hii ya mwinyi ni magarasha tu, Mkapa magarasha tu tena zaidi, na hii ya jakaya ndio zaidiiiiii magarasha...., kazi ZIMEWASHINDA MUONDOKE, TUMEWACHOKA, MSITUFANYE WAPUMBAVU)
MMENIFURAHISHA SANA POWER BREAKFAST, Good work, WELL DONE Keep it UP zaidi.
Swafi sana Taa less Company aka TANESCO au Twiga mnyonge mnaboaaaaaa

hoax, hoax, HOAXguys, tanesco inafanya matengenezo muhimu sana, nadhani baada ya muda mambo yatakuwa fresh sana, NO umeme wa mgao tena!
kwa hivo inabidi tuwe wapole kidogo kwa muda huu
Mimi nilifikiri unataka kuseama ... maajabu zaidi yanakuja kwa kishindo...Msilalame saaaan
hiyo ndiyo faida ya kuipigia kampeni ccm irudi kwa kishindo.
na bado maajabu zaidi yanakuja.
Fuel italeta vita nchini
guys, tanesco inafanya matengenezo muhimu sana, nadhani baada ya muda mambo yatakuwa fresh sana, NO umeme wa mgao tena!
kwa hivo inabidi tuwe wapole kidogo kwa muda huu
Clouds FM waache upumbavu na unafiki wa kijinga, wanalalamikia tanesco ili hali wanaisifia serikali ya ccm? https://jamii.app/JFUserGuide! huyo injinia kawekwa na nani hapo? mbona tanesco iko safi sana ile,au kwa vile inahusika na umeme ambao unaonekana moja kwa moja na watu? mbona hawaongelei issue kama za poor public services like government hospitals ( muhimbili, mwananyamala, amana, to mention a few) The whole country is so fucked hard by these cheap politicians! sera za ccm za kuwekana kwenye nafasi mbali mbali kwa misingi ya ushikaji na uswahiba ndio inatupelekea kuwa na issue kama hizi, tanesco is just the outcome, the root cause of these issues is poor government!
Yah:
Leo asubuhi kipindi cha "Power Breakfast" kimeongelea kuhusu mgao wa umeme na kutopatikana kwa LUKU kwa "lugha kali sana" na natumaini Wakuu wa TANESCO ujumbe umewafikia!
Asante sana Clouds - for the first time!
We wa wapi.........??? Lazima utakuwa wa kule ndilima litembo ambako hakuna umemeKumbe kuna mgawo? :redfaces:
Kwa ufupi sana ni kuwa hao PB ni wanafiki tu kama CLOUDS wengine. Si ni hao waliomwandalia JK sherehe? Si hao waliomfanyia mahojiano yaliyopangwa? Haya mambo si yanatokea chini ya serikali ya JK? Tena wanasema chini ya JK mambo ndio yameharibika kabisa. PB wasitumie hisia kupata huruma za wasikilizaji ili tuwaone ni bora. Ila wanasaidia piaNawapongeza sana Power Breakfast team kwa siku ya leo asubuhi Tarehe 24/November/2010 Mlipozungumzia kuhusu swala la TANESCO.....Mmeongea point kabisa....(Watu wamezoea kufanya kazi kwa MAZOEA tu, Wanawafanya Watanzania WAJINGA, hawaoni,....WANAKAA MAOFISINI na kuanza kuperuzi FACEBOOK, Websites za ngono, kutuma e-mail BADALA YA KUWAJIBIKA na KUTAFUTA SOLUTION za TATIZO la LUKU na UMEME kwa UJUMLA,....Engineer muha....ni garasha tu, TANESCO yenyewe ni ile ya Mwalimu NYERERE, hii ya mwinyi ni magarasha tu, Mkapa magarasha tu tena zaidi, na hii ya jakaya ndio zaidiiiiii magarasha...., kazi ZIMEWASHINDA MUONDOKE, TUMEWACHOKA, MSITUFANYE WAPUMBAVU)
MMENIFURAHISHA SANA POWER BREAKFAST, Good work, WELL DONE Keep it UP zaidi.
Jamani..hebu jadilini HOJA na si msimamo wa mtoa hoja.............. Unadhani ukiwa mwanachama wa chama fulani..hutakiwi kukikosoa chama hicho......???Kwa ufupi sana ni kuwa hao PB ni wanafiki tu kama CLOUDS wengine. Si ni hao waliomwandalia JK sherehe? Si hao waliomfanyia mahojiano yaliyopangwa? Haya mambo si yanatokea chini ya serikali ya JK? Tena wanasema chini ya JK mambo ndio yameharibika kabisa. PB wasitumie hisia kupata huruma za wasikilizaji ili tuwaoe ni bora. Ila wanasaidia pia
The issue shouldn't be what time power shoratge and loadshedding has started, the issue should be why? And instead of all this hype someone should have taken the trouble to ask sources for this, I for one called to ask and was informed Songas Machines were down and one is in overhaul, its time to also support TANESCO interms of revenue protection to ensure its assets r ptotected, I know many influential and intellectuals using and enjoying free umeme, let's all play our part, do I hear someone shouts TRAITOR! At me ?? For this case, SO BE IT !Nawapongeza sana Power Breakfast team kwa siku ya leo asubuhi Tarehe 24/November/2010 Mlipozungumzia kuhusu swala la TANESCO.....Mmeongea point kabisa....(Watu wamezoea kufanya kazi kwa MAZOEA tu, Wanawafanya Watanzania WAJINGA, hawaoni,....WANAKAA MAOFISINI na kuanza kuperuzi FACEBOOK, Websites za ngono, kutuma e-mail BADALA YA KUWAJIBIKA na KUTAFUTA SOLUTION za TATIZO la LUKU na UMEME kwa UJUMLA,....Engineer muha....ni garasha tu, TANESCO yenyewe ni ile ya Mwalimu NYERERE, hii ya mwinyi ni magarasha tu, Mkapa magarasha tu tena zaidi, na hii ya jakaya ndio zaidiiiiii magarasha...., kazi ZIMEWASHINDA MUONDOKE, TUMEWACHOKA, MSITUFANYE WAPUMBAVU)
MMENIFURAHISHA SANA POWER BREAKFAST, Good work, WELL DONE Keep it UP zaidi.