master09
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 808
- 559
mkuu ZIP Codes inahusiana na mfumo wa posta wa huko marekani...
hapa kwetu hatuna hicho kitu...
hiyo +255 siyo ZIP Code bali ni International telephone code...ukitaka kunipigia simu yangu say....0713..000000...nawe ukiwa nje ya TZ unachofanya ni piga +255 0713 000000 hapo umenipata...mfano hiyo code Kenya ni +254 na USA ni +1
kwa habari zaidi kuhusu ZIP Codes tafadhali soma hapa: ZIP code - Wikipedia, the free encyclopedia
Ondoa 0 ya kwanza as +255 713 000 000 au andika 00255 713 000 000