Posta yatimua wakurugenzi.. kisa JF!

Mmmh Kihwele maji ya shingo anahangaika kweli.....sasa nasikia wanakikao cha siri na PS treasury katika BGmoyo au Zanzibar....WANAFANYA SIRI KWELI KWELI.SANA SOO LA KUGHUSHI HAZINA WANATAFUTA NAMNA YA KULIZIMA ILI WASIADHIRIKE......EEH MUNGU SAIDIA TUSAFISHE MAFISADI
 
kweli sishangai kuona watu wengine wanakata tamaa.
inaogofya kuona kuwa ufisadi hauna kikomo, kila sehemu upo.
lakini mwanzo mgumu wanasema, mwisho mtelezo, acha tujitahidi kupambana kifikra
 
Tunaweza kuutokomeza kama tukiamua kwa dhati,swala kama la kula njama na kughushi ili kupata cheo sidhani kama linahitaji tume....ni swala la appointing authorities kurequest evidence na kufanya maamuzi bila kuchelewa....Hapa ni namna ya kuangalia jinsi mtandao wa ufisadi ulivyo mkubwa.Tangu tuhuma dhidi ya Kihwele zimetolewa hakuna hatua zozote za maana toka BODI ya wakurugenzi zilizochukuliwa zaidi ya kuendeleza ufisadi kwa vikao vya kutafuta mtoa habari.

Tangu hii habari imetoka Bodi imekutana mara TANO..... na j3 wanakutana tena wakiwa na lengo moja tu la kupewa taarifa za upelelezi wa yule aliyewaumbua na mamlaka za nchi hii zimeziba masikio na macho pia.........MH Waziri Mkuu PINDA...WHAT IS WRONG ???????
 
NA SWALA LA MWENYEKITI WA BODI TPB NAFIKIRI HAPA NDO ILIKUWA WAKATI MWAFAKA ATEULIWE ILI AWEZE KUENDESHA ZOEZI LA KUWASAFI AU KUWAONDOA VIONGOZI WATUHUMIWA........AJABU NI KWAMBA MTUHUMIWA NDO MWENYEKITI WA BODI INAYOTAKIWA SI TU IJISAFISHE DHIDI YA TUHUMA BALI PIA ICHUNGUZE TUHUMA HUSIKA.
HAYA tunaambiwa huyo mwenyekiti ambaye anatuhumiwa kusimamia uhalifu Benki ya Posta anatuhumiwa kwa uhalifu wa KUGHUSHI NYARAKA ZA UNUNZI WA MAGARI YA SHIRIKA LA POSTA 'what such a shame to the GOVERNMENT'
 
hii inaonyesha hali halisi ambayo watanzania walikuwa hawaijui,yaelekea mtandao wa uhalifu ni mkubwa sana na kati ya watendaji ambao kimsingi watarajiwa wa kutokomeza ufisadi wenyewe ni sehemu ya uhalifu huo.postal bank iko chini ya wizara ya fedha....waziri Mustafa Mkullo katibu mkuu Mgonja Unategemea nini ????? wakati wote wanatuhumiwa kwa namna moja au nyingine........yawezekana mbele yao Kihwele ana kibanzi machoni wenyewe wana boriti watawezaje kumwambia atoe kibanzi ????????????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom