Posta kutamu bwana, asikuongopee mtu.

you have no option dogo.
Najua unajisikia raha sana kubishana na JF Senior Expert Member, ambae mchango wangu unatambulika humu jamvini, tofauti na wewe unayejitutumua, keep it up, na mimi sitakuvunja moyo, nazidi kukupa matumaini.
Inawezekana signature yangu hujaiona, ila ipo.
Itafute uisome, au ukiona chenga ianzishie thread, memba watakupa majibu.
Adios...
JF Senior Expert Member my as**!!...ivyo ni vyeo tu, na haupewi kwa kupost kitu chenye maana...
ingekua hivyo ww ucngepata, maana una pumba 3000 na zaidi...so icho cheo umepewa kwa kulisugua jamvi muda mrefu kwa kulikalia, na sio kwa post zako...upo jombaa?
 
@bagah & mphamvu
what's going on here?
Am listening...
sorry kongosho, nakuheshim kijana wangu, mshkaji analeta dharau kwa kuendekeza ligi zisizo na maana...ila haina mbaya tutaenda sawa tu.
 
JF Senior Expert Member my as**!!...ivyo ni vyeo tu, na haupewi kwa kupost kitu chenye maana...
ingekua hivyo ww ucngepata, maana una pumba 3000 na zaidi...so icho cheo umepewa kwa kulisugua jamvi muda mrefu kwa kulikalia, na sio kwa post zako...upo jombaa?

naona tartiiib, unaelekea kwenye ukweli.
Awali ulizungumzia uchoko, ukaja ukadai unapafahamu Magomeni, sasa hivi umekuja na sera za 'your ass'!
Itafahamika tu mdogo wangu...
 
naona tartiiib, unaelekea kwenye ukweli.
Awali ulizungumzia uchoko, ukaja ukadai unapafahamu Magomeni, sasa hivi umekuja na sera za 'your ass'!
Itafahamika tu mdogo wangu...
ha ha ha...so unafurahi kufanana na kinyeo...kweli ww ni "mavi"
 
ha ha ha...so unafurahi kufanana na kinyeo...kweli ww ni "mavi"

kijana naona unatangaza kifuko chako cha mbolea.
Unfortunately hakuna mteja hapa...
Jumlisha na hiyo ID yako basi napatwa na shaka kabisa.
Hivi unalijua baga wewe?
 
kijana naona unatangaza kifuko chako cha mbolea.
Unfortunately hakuna mteja hapa...
Jumlisha na hiyo ID yako basi napatwa na shaka kabisa.
Hivi unalijua baga wewe?
Asee....
So this is about posta ya zamani....
 
Asee....
So this is about posta ya zamani....

ah?
Samahani mkuu, nilikuwa narekebisha mambo fulani fulani, mantakhof!
Enhe, nieleze unachofahamu kuhusu Posta ya zamani...
 
na mie yangu macho, nasubiria nani ataanza kulia loh...

Mi nlijua mi mwenyewe hapa jamvini ndio naweza ligi!! kumbe wapo wakali wangu!! wakishindwana hapa wataftane kwenye ile ligi ya m2 mbili ile ndio funga kazi.
POPOBAWA.
 
Hivi ile ya breakpoint jamani bado iko huko posta na wale wahudumu waremboo
 
Mi nlijua mi mwenyewe hapa jamvini ndio naweza ligi!! kumbe wapo wakali wangu!! wakishindwana hapa wataftane kwenye ile ligi ya m2 mbili ile ndio funga kazi.
POPOBAWA.

sina mda mchafu wa kulumbana na hao viumbe mimi.
We angalia ID yake, njoo kwenye avatar, halafu malizia na post zake.
Hauhitaji mchambuzi wa masuala ya kijamii akufahamishe kuwa huyu kijana yuko katika hatua za mwisho za kupata uraia halali wa Uingereza.
Sie yetu macho ati...
 
Hahahahaha....... uraia wa kule kw david kameruni!!lol.
POPOBAWA.
 
Back
Top Bottom