Posta dar kunanuka

Madoido

Senior Member
Jan 24, 2011
134
15
jamani nimepita posta mpya yaani kunanuka sana, yaani kinye........i kwa kwenda mbele, yaani ni zaidi ya kule kwa tumbo au mtogole,,ebu wadau piteni hapo posta mpya karibu na hiyo sheli yaani ni balaa tupu, hivi hakuna wahusika wa jiji wazibe hiyo mitalo ya uchafu.maanake ni hatari kwa magonjwa ya mlipuko.....nawakilisha
 
Back
Top Bottom