Posta acheni kufungua barua zetu

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,012
10,651
Nasikitishwa na utendaji kazi wa wafanyakazi wa shirika la Posta sehemu ya masanduku ya barua, wamekuwa na tabia sugu,mbaya na ya muda mrefu ya kufungua barua/vifurushi wanavyoweka kwenye masanduku.Majuzi tu nimekuta barua zangu tatu kati ya tano zilizokuwemo humo sandukuni zikiwa wazi na baadhi docs wamechokonoa.Hapo siku za nyuma nilishaenda kulalamika lakin tabia naona bado ile ile,nimeshapoteza imani nao.Waache mchezo huu.
 
Mkuu, tumia ups, fedex, dhl na kampuni za namna hiyo. Achana na posta ya bongo.
 
wanatafuta hela, unajua tena shirika lenyewe chanel zimekata
 
Mkuu, tumia ups, fedex, dhl na kampuni za namna hiyo. Achana na posta ya bongo.

Powa mkuu,nazitumia,lakini ukiwa na shughuli fulani rasmi unajwaibika kuwa na sanduku la hawa jamaa,ikitokea kitu imepita huko wameshachungulia.Kero kweli bongo hii.
 
hahaha...chabo? cku hizi pesa hazitumwi huko wala barua za mapenzi sasa sijui wanasoma application lettters?
 
hahaha...chabo? cku hizi pesa hazitumwi huko wala barua za mapenzi sasa sijui wanasoma application lettters?

Labda wanadesa hizo barua na kuchukua vyeti etc wakavichakachue kwa manufaa yao!Lakini yote kwa yote ni upuuzi.
 
Back
Top Bottom