Post zote za kidini zisirusiwe tena

Nyie I didn't start this post for you to continue this NONSENSE....This a serious issue and you should either support my intentions or let it be. Sio tena kuendeleza malumbana ya kijinga...
Asanteni

mbona unatumia lugha kali kama wale wabunge wa chadema wanaovuta bangi na kwenda bungeni kupiga makelele ? utakuwa chadema tu na wewe
 
Guys cu'mon get serious, sijafanya hivyo kwamakusudi ila nyie bado muandeleza mambo yale yale ambayo yamenifanya nianzishe hii thread. Mambo ya siasa tena wapi na wapi hapa.....
 
Guys cu'mon get serious, sijafanya hivyo kwamakusudi ila nyie bado muandeleza mambo yale yale ambayo yamenifanya nianzishe hii thread. Mambo ya siasa tena wapi na wapi hapa.....

Kumbe wewe ni wa kupuuzwa ...imekuwaje ukaanza matusi kwa members wenzako?
 
Guys cu'mon get serious, sijafanya hivyo kwamakusudi ila nyie bado muandeleza mambo yale yale ambayo yamenifanya nianzishe hii thread. Mambo ya siasa tena wapi na wapi hapa.....

haya sawa, endelea na thread yako. mie ntatoka
 
Uongozi mzima wa JF uliweka baraka kwa hawa akina maxshimba na wenzake ktk kutukana na kukashifu dini ya kiislam kwa kuacha post za hao watajwa na bila ya kupewa onyo lolote. Kumbuka vitendo hivi sio vigeni, bali ni vya siku nyingi. Cha kushangaza ni kwamba, uongozi wa JF umekuwa mstari wa mbele kabisa kuendeleza chuki dhidi ya uislam na waislam, lkn inapotokea ukristo ukashambuliwa kama uislam ulivyoshambuliwa, hapo ndipo wanapoona pa kuchukua hatua. Je, hii ni sawa ? si sawa.Ukweli lazima uwekwe wazi, najua watafuta hii post kama walivyofuta posts zangu zilizopita, lkn hawa hawa moderators wa jf ndio wanaochochea matusi dhidi ya waislam.
Kama unaona Uislamu ndio dini pekee inayotukanwa (kama inatukanwa anyway) basi hilo Jukwaa la Dini liendelee ku-survive tu mpaka muelewe ubaya na hatari ya dini ya Kiislamu!
 
Iwapo hazitoruhusiwa, basi hakika nilichokifanya leo kwa wale waliokuwa wanaona sawa ni utamaduni wao wa kukashifu dini za watu na kuachiwa hivi hivi nadhani kimefanya kazi.

Najua nilichofanya kilivuka mipaka, but i had to do it, and took responsibility for it, and am glad to say that post za kukashifu dini yangu ya amani na upendo ya kiislam zimeondoka. Na iwapo ningekaa kimya, basi wale waliokuwa wakichafua hewa humu ndani kwa kutukana uislam wangekuwa wanaendelea siku hadi siku. Na hawa mods nao ni wachochezi wa dini vile vile, wanachukua hatua baada ya mambo kuharibika, ina maana walikuwa hawaoni wale waj*nga walipokuwa wakitusi dini nyingine ? au kwa kuwa uongozi wa jf ni wa kikristo ?

Waislam/Uislam tumetukanwa sana humu ndani, na nina hakika iwapo ningekaa kimya, basi chuki na matusi yangeendelea dhidi ya uislam na waislam.
Kinachofanyika ni kuutukana Uislamu halafu Muislamu atakuja ku counter attack, thread itafutwa wakati tayari waislamu wameshaumizwa hisia zao, wataachwa kwa muda halafu kitafanyika kitu kilekile tena.
Ni LAZIMA Waislamu wawe na mkakati wa kuizima hii fitnah once and for all! the enemy is weaker than they think!
Waislamu wanaweza kuanza na fikra rahisi tu kama hii: Ikiwa Kikwete (mtu mmoja) alipovunjiwa heshima na ZeUtamu alidai haki yake mpaka atleast ZeUtamu ilifungwa, what about millions of Muslims in Tanzania to say the least?!!
 
Namchulia Kikwete kama raisi wa nchi. Kumbe wewe wamchukulia kama Muislam...kazi kubwa ipo
 
I call on all JF moderators, for the benefit of national interests, please DO NOT accept any more and infact delete all posts which are connected to any religious comments, outbursts or incitement.
Of recent we have seen a number of posts/threads which are started by some members attacking some religious beliefs and customs, it may seem just a small matter, but am worried this trend will/may have detremantal and lasting effects to society.
It's never to late to implement this.

Mungu Ibariki Tanzania...
Sasa hapo bwana mzimu unafikiri FaizaFoxy ataelewa... Weka katika lugha ya kielimu akhera, au kwa kiswahili.
 
nafikiri post za kidini haziepukiki maana ndio zitaleta vita ya mwisho ya dunia
 
kilimanjaro arusha tunafanya mawasiliano na marekani na ulaya waje waweke military base pale kwa sababu ni wakristo wenzetu
 
Namchulia Kikwete kama raisi wa nchi. Kumbe wewe wamchukulia kama Muislam...kazi kubwa ipo
Kwa sababu alichokifanya hakipingani na islamic Shariah halafu ni Rais wa nchi, kiongozi wa nchi ndio maana nimeonelea Waislamu wachukue mfano wake kuhusu hili la kudai haki zao.
Kama ingekuwa rais wa tanzania si Muislamu halafu akatumia njia ile ile aliyotumia Kikwete kudai haki yake, kwa nini waislamu wasitumie pia wakati haipingani na sharia ya Kiislamu?
 
Kinachofanyika ni kuutukana Uislamu halafu Muislamu atakuja ku counter attack, thread itafutwa wakati tayari waislamu wameshaumizwa hisia zao, wataachwa kwa muda halafu kitafanyika kitu kilekile tena.
Ni LAZIMA Waislamu wawe na mkakati wa kuizima hii fitnah once and for all! the enemy is weaker than they think!
Waislamu wanaweza kuanza na fikra rahisi tu kama hii: Ikiwa Kikwete (mtu mmoja) alipovunjiwa heshima na ZeUtamu alidai haki yake mpaka atleast ZeUtamu ilifungwa, what about millions of Muslims in Tanzania to say the least?!!
So unataka na JF nayo ifutwe kama Ze Utamu au??
You Tanzanian Muslims, your enemy is poverty and poor education, not Christians. Christians are united, you hit me, we hit you. One more college make you stronger, one more madrasa makes you weaker.
 
nafikiri post za kidini haziepukiki maana ndio zitaleta vita ya mwisho ya dunia
Kumbe umeliona hilo, na bado unashabikia tuu? Kweli matatizo ya TZ hayataisha leo. Watu baadala ya kujadili maswala ya msingi, munalazimisha mambo ya dini.
The world has moved on from religious beef, ndo maana leo hii unaona ndoa za jinsia m1 zinarusiwa, ma padre mashoga kama kawa, China imepiga hatua bila bila udini udini....TZ bado tnajadili dini zetu...kazi bado tunayo...
 
This is utterly a free forum where people overtly and explicitly get airtime to express their opinions. Regardless of its nature, members engage themselves in discussing matters interactively with a common purpose of eventuating into an elegant and concise conclusion. Admittedly, though some remarks might sound instigative, any attempt to abrogate them won't bear any fruitful effect but rather an interference to freedom of expression.
 
hey womaniser, there is a limit to freedom of expression and especially when it comes to being used as a means of maginalising and abuse of certain rights. What about the right to freedom of worship??
Initially I think JF was created for that sole purpose where people dare speak openely, but at the moment members have abused that right and instead turned on each other's religions in roder to justify that their religion(s) is better than the rest.
 
Kila mtu anaona dini yake ni nzuri hivyo kama unasuport kutukanwa uislam usikasirike ukitukanwa ukristo,uislam ni uungwana ndio maana waislam hawapendi kuanzisha thread hizo lakini ukikiuka haki yako ya kikatiba sijui kama utaweza zima moto wake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama unaona Uislamu ndio dini pekee inayotukanwa (kama inatukanwa anyway) basi hilo Jukwaa la Dini liendelee ku-survive tu mpaka muelewe ubaya na hatari ya dini ya Kiislamu!
 
Iwapo hazitoruhusiwa, basi hakika nilichokifanya leo kwa wale waliokuwa wanaona sawa ni utamaduni wao wa kukashifu dini za watu na kuachiwa hivi hivi nadhani kimefanya kazi.

Najua nilichofanya kilivuka mipaka, but i had to do it, and took responsibility for it, and am glad to say that post za kukashifu dini yangu ya amani na upendo ya kiislam zimeondoka. Na iwapo ningekaa kimya, basi wale waliokuwa wakichafua hewa humu ndani kwa kutukana uislam wangekuwa wanaendelea siku hadi siku. Na hawa mods nao ni wachochezi wa dini vile vile, wanachukua hatua baada ya mambo kuharibika, ina maana walikuwa hawaoni wale waj*nga walipokuwa wakitusi dini nyingine ? au kwa kuwa uongozi wa jf ni wa kikristo ?

Waislam/Uislam tumetukanwa sana humu ndani, na nina hakika iwapo ningekaa kimya, basi chuki na matusi yangeendelea dhidi ya uislam na waislam.

Kama ungekuwa unasema ukweli ningekupa pole lakini huo ni uongo mtupu! Hakuna watu wenye matatizo kama wa jamii yako (yaani wewe na wenzako)!
 
Back
Top Bottom