Post za wanafunzi waliokosa shule Kidato cha Tano

Jun 26, 2015
23
2
Jaman naomba kuliza post zinatoka lini?

Kwa wale wanafunzi wa kidato cha nne waliofanya vizuri ktk mitihan yao ya kumaliza elimu ya secondary na kufanya vizuri ila Serikali ya Tanzania ikashindwa kuwapatia nafasi za yakujiunga na kidato cha tano.

Tukikumbuka tamko la waziri wa elimu haki sema kuwa zitatoka soon!
 
subiri mpaka tarehe 30 mwez huu ila uwe na C3 na D2/3 alafu hiyo ni kwa wale wa sayance then ni lazima comb iwe imebalance kama CCC/CCD au BDD ndo utapata pia wanawachukua wale wa GPA 1.3 na kuendelea
 
ndio utachaguliwa ila kama mwazo wakati ulipokuwa ukijaza self form ulichagua chuo ndo iwe number 1 huwez kupata ila kama ulichagua form 5 ndo iwe 1secection bax umepata mkuu
 
waliofaulu science wengi wamepelekwa udom kwa maana hiyo watakaopekwa form 5 watakuwa wa arts tu au?
 
wale walio chaguliwa UDOM ilikuwa ivi... Kipindi walipokua wamemaliza pepa la 4m4 walipewa form za kujaza ambazo ni lazima kila mwanafunz ajaze ila hao walichagu number 1 iwe chuo then 2 ndo iwe form 5 xo kutokana na vyuo kuwa vichache walikosa nafasi xo serikal ikawa2pia ualimu kwa wale walio pata daraja la CREDIT na kuendelea

acha uongo ndugu yangu
 
kauli ya shukuru kawambwa kuhusu SECOND SELECTION KIDATO CHA 5(quote) Baadhi yenu mmeulizia kuhusu second selection ya Kidato cha 5 mwaka huu. Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI ndiyo wenye jukumu la kupanga wanafunzi kwenda Kidato cha 5 na pia second selection. Taarifa nilizonazo ni kuwa hilo zoezi halijafanyika. Nitafatilia na kuwapa majibu mapema sana.
 
Waliochaguliwa udom niwale waliokosa shule formv coz miaka hii ya brn mpo wengiii alafu ushindani balaaa...coz nina mdogo wangu kachaguliwa udom ana gpa 2.4
 
we jamaa unalopoka chuo walikua wanachagua vyuo vya ufundi kama ATC arusha technical college umenipata

na wewe hujanielewa licha ya hiyo cio wote walipata wengine walikosa tena weng xana ndo waka2piawa UDOM then wakawaongeze na hao wengine hakuna kuropoka hapa
 
Back
Top Bottom