Post za kidato cha tano kutoka wiki tatu kabla ya shule kufunguliwa muhula wa pili

seleman msumeno

JF-Expert Member
Apr 26, 2015
202
34
selection ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2015,ni dhahiri kwamba zitatoka wiki tatu kabla ya kufunguliwa kwa shule kwa muhula wa pili,chanzo cha tetesi hii ni kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa jengo la tamisemi. my take: selection kwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano zinaweza kutoka kuanzia sasa mpaka tar.16/6/2015 kwa sababu rufaa za necta tayari zimeshatoka kwa awamu mbili na pia ajira kwa walimu kwa selection ya pili zimeshatoka na pia form six wamesha pata kumaliza mitihani yao ya mwisho na pia kidato cha tano wamesha anza mitihani yao ya terminal kwa ajili ya kufungia shule.KWA HIYO KUANZIA SASA POST ZITATOKA MDA WOWOTE ,GET PREPARED!!!!
 
hapo sawa
 
habar wana jf kuna dogo langu kamaliza mwaka jana na kwa mipango ya mungu matokeo yakawa ivi ana credit 2 alafu ana e mbili msaada wa mawazo jaman anaweza enda chuo gan ambacho kinatoa ajira moja kwa moja akimaliza
 
Tulieni post bado mpaka mwisho wa mwezi. Msiwe na haraka mtasoma mpaka mtachoka
 
habar wana jf kuna dogo langu kamaliza mwaka jana na kwa mipango ya mungu matokeo yakawa ivi ana credit 2 alafu ana e mbili msaada wa mawazo jaman anaweza enda chuo gan ambacho kinatoa ajira moja kwa moja akimaliza

kama amefaul sayans eg, PCB at least DDD aende vyuo vya afya kuna koz mbalmbal na kama n art education itamfaa pia hata polis na kama ni wa maeneo ya kanda ya ziwa aje pasians mwanza asome uaskar game na pia kuna chuo cha madin aje
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom