post za form 5 zitatoka lin?

baltazarmushy

Member
Feb 19, 2012
8
0
baad ya kusubir matokeo kwa shauk kubwa ss kila k2 hadharan kwa wale wenye zali la mentali tunachosubr kwa ss ni lin post zitatoka na shule gan tutapangiw vlvl kwa wanaofahamu naomba kuorodheshewa topic za advance zilzopo kwy comb ya PCM nanivitabu gan essentials vinavyotakiwa ili uweze kuwa full equipped ikwezekana pamoja na gharama zake,ova!
 
katafute chande na roger ni vitabu vya physics, mzumbe kwa ajili ya phsical chemistry na kitabu cha inorganic na organic chem maths katafute pure 1 n 2
 
baad ya kusubir matokeo kwa shauk kubwa ss kila k2 hadharan kwa wale wenye zali la mentali tunachosubr kwa ss ni lin post zitatoka na shule gan tutapangiw vlvl kwa wanaofahamu naomba kuorodheshewa topic za advance zilzopo kwy comb ya PCM nanivitabu gan essentials vinavyotakiwa ili uweze kuwa full equipped ikwezekana pamoja na gharama zake,ova!

Kausha ww au ndo unajifanya msongo sana....hata chance zikitoka mwezi wa 6 we tatizo lako nini?? na topic za advance unazotaka za nini?? au unafikiri we ndio wa kwanza kusoma PCM..?? anyway adolescence
 
POINT! koz hawa watoto wanjifanya wanashahuku sana, but angalizo baada ya matokeo yao ya 4m6 2014 wasije na post za kuulizia jinsi ya kusomea taaluma veta kwa ngazi za vyeti.
 
baad ya kusubir matokeo kwa shauk kubwa ss kila k2 hadharan kwa wale wenye zali la mentali tunachosubr kwa ss ni lin post zitatoka na shule gan tutapangiw vlvl kwa wanaofahamu naomba kuorodheshewa topic za advance zilzopo kwy comb ya PCM nanivitabu gan essentials vinavyotakiwa ili uweze kuwa full equipped ikwezekana pamoja na gharama zake,ova!

unazungumzia mazali?
 
Sie wengne ha2na zal la mentali NECTA washa2maliza kabsa ha2na hata hamu.
 
.....thanx!! Sentor unakacofidenc xan mzaz! Keep it up....lkn inawzkna hujtambui kuwa na ww unamapunguf, kwa mtazamo wang naona unaweza xana kuleta +ve changes ktk jamii lkn endapo soon utamuona mshaur wa kisaikolojia! Lkn hamna noma ukinreply nikukonect na watalaam au hutak kutimz ndoto zako?
 
POINT! koz hawa watoto wanjifanya wanashahuku sana, but angalizo baada ya matokeo yao ya 4m6 2014 wasije na post za kuulizia jinsi ya kusomea taaluma veta kwa ngazi za vyeti.
we mzee!mbon unataka kuleta itikadi za ujuaj xana!kwan mi 2014 nikipost jins ya kujiunga veta we inakuhusu nn?kwa nn ucwapishe wataalam wajibu hii post?au unaona raha xana kuwakatisha tamaa wenye nia ya dhati ya kuwasaidia watanzania wenzao?mzee mi nina wacwac na ww! Ucpanic mzee naomb nijibu swal langu la mwisho kwan ww chama chako cha siasa ni kip? CCM au TANU kuwa waz tu mzee ili wana jf wazid kufatilia post unazotumaga!!!
 
ha ha ha! T wos jxt e chalenj kwa dogo broda nd don panic, also mi mwanachadema orjno.
 
baad ya kusubir matokeo kwa shauk kubwa ss kila k2 hadharan kwa wale wenye zali la mentali tunachosubr kwa ss ni lin post zitatoka na shule gan tutapangiw vlvl kwa wanaofahamu naomba kuorodheshewa topic za advance zilzopo kwy comb ya PCM nanivitabu gan essentials vinavyotakiwa ili uweze kuwa full equipped ikwezekana pamoja na gharama zake,ova!

Mzee upo wapi?Wenzio tumeanza kupiga form 5 tangu tarehe 20 februari hapa Ilboru!
 
Selection yenyewe ndo inaanza juma hili so post zitaanza mwezi wa tatu mwishoni2 so be patient dogo piga tuition.

Back
Top Bottom