Yap,zimetoka
Una apply diploma moja kwa moja kwa ufaulu wakojamani nisaidieni nimepata phy-d chem-c bio-c je niapply ngaz ipi cert au diplo ili niwe na uakika wa kupata serikali ?Koz ya clinical medicine
Swala la kupata au kukosa ni kesi nyinginenikiapply diplo je compitition serikalin sini kubwa ntapata kwel?