Post yangu ya kwanza - Serikali ya Kikwete haina kiongozi makini hata mmoja

Lastname

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
922
296
Napata shida sana wadau wa jf ni post yangu ya kwanza toka nimeingia humu jana, watanzania hatuna serikali. Sijapata jambo ambalo nimeisifia hii serikali na kuona inafanya kazi. Source ya failure ni kule kupeana madaraka watu wasio na uwezo kama mama meghji.

Kamala n.k ambao unakuta mkuu wa nchi kawang'ang'ania kama nini hata kama wananchi watawakataa. Hii ndio source ya matatizo yote yanayotukabiri.

Watu wanamsifia JK kuhusu mswada wa katiba wakati wanaotakiwa kusifiwa ni mabalozi walioona uhuni unafanyika pale bungeni wakaenda kumbana na kusema badili hiii, lakini yeye alishakubari na akasign hivyo ni mabalozi ndio wa kusifiwa. Yeye kazi ni ku praise wazungu. Inaniuma sana ndugu zangu watanzania nchi inaendeshwa kihuni huni sana.
 
umenyimwa cheo/dili gani Lastname?
 
Sijamyimwa kitu ila nawahurumia wanangu na wajukuu, watakuta nini kama tutaendelea kuongozwa na watu wasio na maadali ya kazi? ebu mfano mdogo kamati ya kwenda kuchunguza mauaji ya songea mchunguzi keshakuwa biased kabla hata hajafanya ile kazi sasa anaenda kufanya nini huko na majibu anayo?

umenyimwa cheo/dili gani Lastname?
 
Lastname usikatishwe tamaa na comments za watu ambao fikra zao zimeganda kama jesuit na watu. Ingawaje ni post yako ya kwanza lakini nakuona wewe ni Great thinker kwa hiyo style uliyoanza nayo. Keep it up
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom