Post wizara ya afya yanatoka lini,

Jben

Member
Jul 22, 2013
70
1
Duh ushaul jaman maana nmechaguliwa ualimu, na me nipo interested na afya, nifanyaje jaman maana afya wanachelewa!
 
Da! kk ningependa uende kuripot ualim kabla 2rd selection hayajatoka japokua muda umekwisha zen unasubiria afya mi mwenyewe nipo ualimu na nasubria afya be carefuly ucje ukakosa kote au uende privet ni hayo tu mku!
 
kwanini afya wana2fanya hvi jamani? Yani hawa2jal kabisa kwan mda unaenda halafu bdo kimya. Mafriend kama vp washkaj 2wasiliane na kujulishana kwa yote yotokeayo
 
wame apply wanafunzi elfu 20 na wao wanahitaji wanafunzi elfu 2 tu,.. Kwa hiyo wanaendelea kuchakachua kwanza!!
 
Et wakuu ni kwel yametoka?niko njia panda hapa private reporting date n leo halaf wizara ya afya bdo hata celewi
 
Back
Top Bottom