Vancomycin
Senior Member
- Jan 7, 2011
- 171
- 111
we bure kabisa,huwezi kusoma pathology bila forensic medicine hvyo kama ni pathologist then akasoma forensic kwenye hyo postdoc hiyo ni super-speciality ni sawa na surgeon akaenda surgical oncology either in paediatrics or gynaecologyNgoja nijibu shutuma mchwara zote hapo juu....Mie ni mzalendo na mtafiti wa mambo ya kijamii na wala sina udugu wala ujamaa na Dr Makata na hata hiyo CCM.Bugando wapo pathologist hata Muhimbili wapo....ila shida hukuangalia zaidi maelezo yangu baada ya PHD nilisema amemaliza postdoc ya Forensic Medicine Australia...kama umeenda shule wajua maana ya postdoc....Hao wote uliowataja a wengineo ni Pathologist na hawana postdocYule anayejiita daktari wa familia kule Tarime ni CLINICAL OFFICER, jitume kidogo kwa kwenda kwa Msajili wa madaktari wizara ya Afya na utaupata ukweli...usiwe mwepesi kutoa hoja dhaifu......Tatizo, wengi hamkunielewa maana halisi ya mchango wangu hapa....Kuna ulazima wa familia za wahanga kuwa na daktari wao mwenye uwezo kitaaluma ili iwe rahisi kwa Mawakili kupeleka kesi mahakamani...nakubaliana hata MD au Pathologist anaweza fanya vizuri katika hilo na si kupeleka ma CLINICAL OFFICER katika issue hizi jamani