Post A Powerful Picture

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
vietnam.jpg

very famous picture hii ilikuwa wakati wa Vietnam war ina wind down
 
inasemekana aliyeipiga hii picha alijiua sijui ukweli ni upi lakini still it says alot

blurb200_lg.jpg

poverty-picture.jpg
 
jv28mp.jpg

Rwanda, June 1994.
Hutu man mutilated by the Hutu 'Interahamwe' militia, who suspected him of sympathizing with the Tutsi rebels
 
vov3o2.jpg

Waarabu na watumwa wao..sijui hapa ni wapi lakini najua itakuwa huko kwetu tuu kama si kilwa basi Bagamoyo na kama si bagamoyo basi Zenji

still its a powerful photo
 
miles-davis.jpg

Hii picha ya Miles ilikuwa my avatar jamaa akalamika kuwa inatisha so i resorted to my man Trane hapo juu

Miles alikuwa Jeuri lakini talented and btn the two i would still go for Miles badala ya Trane. Still powerful pic though
 
NYERERE alishabikia vita VYA BIAFRA na madhara yake yalikuwa ni haya:

biafra-1969.jpg

at the same time alikuwa anangangania Africa tuungane!
 
miles-davis.jpg

Hii picha ya Miles ilikuwa my avatar jamaa akalamika kuwa inatisha so i resorted to my man Trane hapo juu

Miles alikuwa Jeuri lakini talented and btn the two i would still go for Miles badala ya Trane. Still powerful pic though

Trane na ukali wake katika avant-garde, mbona bonge la protege tu.
 
Trane na ukali wake katika avant-garde, mbona bonge la protege tu.

mzee ulinilet down kwenye ile thread ya Jazz hukurudi tena! anyway Miles was said to have limited technique and was slow in learning new material. However, what he had in abundance was a monumental ego which often came out by his well known gift of showing contempt for his listeners.
 
vov3o2.jpg

Waarabu na watumwa wao..sijui hapa ni wapi lakini najua itakuwa huko kwetu tuu kama si kilwa basi Bagamoyo na kama si bagamoyo basi Zenji

still its a powerful photo

Hao hapo kushoto pemebeni wenye kanzu nyeupe ni waafrika wenye masharubu ama ni waarabu?
Maana kuna mgogoro kule kwenye thread ya FMES kati ya Nyani na Pundit...
 
mzee ulinilet down kwenye ile thread ya Jazz hukurudi tena! anyway Miles was said to have limited technique and was slow in learning new material. However, what he had in abundance was a monumental ego which often came out by his well known gift of showing contempt for his listeners.

GT,
Ninavyojua mimi kutoka kwa wanafunzi waliokuwa wanasomea chuo kikuu kimoaja cha MUSICS and Sound Engineering ni kuwa Huwa wana heshima kubwa sana kwa huyu jamaa. Miles inawezekana alikuwa mgumu wa kusomea vitu ila alikuwa ni mtu anayependa sana KUJARIBU. Akisikia kifaa fulani kipya basi huchukua na kukifanyia majaribio kwa kutumia katika nyimbo zake. Wanafunzi hao humtumia sana Miles shuleni. Wanasema kuwa huyu jamaa amesababisha sana JAZZ iwe na sura nyingi sana kama ilivyo leo. Zamani ilikuwa sanasana ni kama ile sauti ya Train linakwenda yaani Katamiti-katamiti. Hizi beats hata baadaye the Bee Gees (This Is Where I Came In ???) walizitumia ingawa wao wanadai walikuwa wamesimama kwenye sehemu ya kuvuka reli na train likapita na wakasikia sauti hiyo. Ila wao naona lilipita kwa speed ndogo maana uko kidogo slow.
Miles kitu kingine mashuhuri kwake ni kuwa alikuwa anawapa watu CHANCE. Ukija leo na kusema Mie natoka Sikonge na huko nimejifunza kupiga marimba basi anasema hebu piga, akipendezwa au ukikoga kwa kalufundi kako, hapo hapo unakuwa umepata kazi. Hakuwa kama maproducer wa siku hizi. Nasikia Shemeji Tommy Motolla nusura aitupe tape ya Mariah Carey. akiwa kwenye gari akasema hebu ngoja nisikilize. Alichosikia kimemfanya dada yetu siku awe hadi na wine MARIAH. Miles kidogo ni kama Queens Jones. Huyu mzee ukiandika wimbo hata kama wewe ni kibonde basi atakusifia na kuanza kuurekebisha huo wimbo hadi mwisho unakuwa umebaki asilimia 10 ya kazi yako na anakuachia kazi ya wewe kujipa ujiko kuwa ni mtunzi wa huo wimbo. Wanamuziki na producer wa namna hiyo siku hizi ni ndoto. na kibaya zaidi ni kuwa wimbo unavyozidi kuwa mbaya, siku hizi ndiyo unazidi kupendwa. Wimbo kama huu wa SCOOTER uitwao "how much is the fish" unajua tu hata kama hujasikiliza kuwa ni upupu wa hali ya juu. Ila utashangaa unapendwa si kawaida na kila sehemu German upo. Anyway wakati ukuta.
 
vietnam.jpg

very famous picture hii ilikuwa wakati wa Vietnam war ina wind down

this photo was a powerful legacy of the vietnam war,in high resolution photo's of this episode,you can actually see the bullet,on its way to shatter the vietcong.s brain.the officer brandishing the gun was court-marshalled
 
So is this little girl Kim Phuc during Vietnam war!

450px-TrangBang.jpg

the little girl kim phuc,now an adult lives in canada,in the photo,this was just after a napalm bomb attack.i have had the opportunity to met her in canada.she is now married,and has some sort of ceremonial role for the united nations
 
Back
Top Bottom