possibilities of stress free ceremonies

ch1cha

Member
Nov 12, 2011
9
0
Imagine the posiibility of stress-free
Ceremonies; it begines with you.
Serikali ilitumia Tshs 64 Bil kwa ajili ya
sherehe za mika 50 ya uhuru; sherehe
hizi walengwa walikuwa ni watanzania
wote wapatao Mil 40. kwa wastani Mtanzania mmoja ni Tshs 1600.
Siku hizi harusi ya kawaida sana yenye
kualika watu 400, gharama za jumla si
chini ya Mil 16 ambayo kwa wastani ni
40,000 kwa kichwa. (sijahesabia send off
na kitchen party) Tunailamu serikali ya kwetu hatuyaoni.
Wakati wa mabadiliko umewadia.
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
posted 31 minutes ago on facebook by mnikovic van miyaichi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom