Position ya jk kwa mgombea anayemtaka kuwa rais ndani ya ccm.

Iwapo wewe ni mwanachama wa CCM, ni ipi nafasi yako kuhusu suala hili? Kwani chama ni watu, sio mtu mmoja mmoja. Mimi binafsi nikiwa mwanachama, nasema chagua langu bado, na sioni anaetosha hadi sasa, na isitoshe, hakuna waliojitokeza hadharani tukasikia mipango yao kwa taifa hili, ili tuweze kubaini ni nani anatufaa. Vinginevyo, tukiendelea kujiuliza Mwenyekiti chaguo lake ni nani, huo utakuwa ni udhaifu mkubwa sana kwetu sisi kama wanachama kwani again, Chama ni Watu.
 
Back
Top Bottom