Posho zilivyo wavimbisha matumbo viongozi wetu

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Mkuu+wa+Wilaya+ya+Ilala%2C+Leonidas+Gama+(kushoto)%2C+akipokea+hundi+ya+Sh.+milioni+moja+na+nusu+kutoka+kwa+Grace+Nicolaus..jpg


Huyu ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bw. Leonidas Gama

IMG_0417.JPG


Huyu ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bw. Leonidas Gama

john-komba.jpg


Mbunge wa Mbinga Magharibi, John Komba

DSC_9178.JPG


Mbunge wa Mbinga Magharibi, John Komba

PICS-PG-16-300x280.jpg


Didas Masaburi, meya wa jiji la Dar es salaam

wassira.jpg


Steven Wassira

VitiMaalum-Bungeni_kusinzia-1.jpg


Mambo ya kutafakari ki utu uzima.

Jamani posho mbaya sana zina madhara kiafya.

HUKU WANANCHI AMBAO NI MABOSS WAO HALI IKO HIVI

Wanafunzi%2Bwa%2Bshule%2Bya%2BMsingi%2BMvumi%2B-Kilosa%2B%2813%29.JPG


Watoto wanaketi chini hakuna madawati msitu wa Songea na Mafinga Sao Hill akina Lukuvi wamejipigia ufisadi ambapo serikali ingetengeneza masawati ya kutosha nchi nzima,

shule2.jpg


Watoto wa maboss (wananchi) ambao ndo viongozi waliopo madarakani wanatoka darasani

Shule2.jpg


Shule ya msingi ambamo wanasoma watoto wa wapiga kura

1156230.jpg


Hata kwenye shule za sekondari nako hali mbaya

zahanati_ya_kijiji_kisaki%2Cbwakila_morogoro%5B1%5D.jpg


Hii ni zahanati mpiga kura ndo analalia kitanda hicho wao Muhimbili wanaenda kupumnzika kisha hao India

NESI%2BZAHANATI%2BYA%2BMAKUYU..JPG


Hii ndo maabara ambapo mpiga kura anakuja kupimwa maradhi yake

610x.jpg


Wapiga kura wanalala mzungu wa nne kitanda kikiwa full mpiga kura inamlazim adondoshe gari sakafuni anamwachia matumaini Mungu

Upungufu%2Bwa%2Bvitanda%2Bvya%2Bkulala%2Bhospitali%2Bya%2BMwananyamala%2B7%2BOktoba%2B2008%5B1%5D.JPG


Wapiga kura hawa wasio thaminiwa wakiwa wamerundikana kama wanyama wanapatiwa matibabu

191125944.jpg


maji anayo tumia mpiga kura kwa kunywa na kupikia na kufulia

5235999.jpg


Mpiga kura wa hao jamaa walio vimbiana matumbo akikata kiu kwa maji kumbuka hayo maji kayafuata kwa kutembea zaidi kilomita 20.
 
Kwa vile wameipaisha wenyewe JF mjengoni basi wekeni picha wadau waheshimiwa hawa wanao jali matumbo yao badala ya kuwajari wananchi walio wapa hicho kitumbua na kukila wenyewe
 
Wazee wa magamba wanafaidi hayo matumbo wanakula sahani ngapi?
Ndo maana wanalilia posho hazitoshi kazi kweli kweli
 
Aisee hii hali imezidi, inabidi wananchi tuamke, tuingilie kati hili swalabefore its too late
 
Andika kwa lugha ya kimataifa ili waonekane kimataifa jinsi wanavyokula keki ya taifa peke yao na bado wanaomba misaada wazidi kula. Hata FB na twitter wenye utaalamu wekeni ili waanikwe. I'm proud to be JF member maana naaccess mambo makubwa sana. YAANI KAMA RAIA WOTE WANGEPATA HUU MTANDAO, HAKIKA HII NCHI INGEBADILI. For sure this is the "HOME OF GREAT THINKERS". BRAVO JF.
 
Hakika hizo picha zimenipa tafakuri sana juu ya taifa letu la tz na vipaumbele vyetu.
 
Mbona kuna watu wana matumbo makubwa na hawako serikalini?. Waacheni na matumbo yao, kwanza huwezi jua namna hayo matumbo yalivyopatikana.
 
hivi mh kikwete umeamua mambo yajiendee yenye? Wewe ndiye wa kulaumiwa na vifo vyote damu juu yako utakuja ujibu siku moja.
 
Hizi picha zinasikitisha sana! ndani ya nchi moja huru!

Mafisadi hawa wa CCM wanaimaliza nchi yetu.
 
Wapi naweza nunua bunduki? Hata ya risasi moja tuu. . . .
Bunduki Afrika huwezi kupata bunduki zinapatikana Ulaya bunduki huku ulaya za kumwaga tu huko afrika bunduki za huko ni Mambo ya Uchawi nenda kwa mganga atakusaidia bunduki ya siri utaipata kwa mganga wa Kienyeji.
 
Bunduki Afrika huwezi kupata bunduki zinapatikana Ulaya bunduki huku ulaya za kumwaga tu huko afrika bunduki za huko ni Mambo ya Uchawi nenda kwa mganga atakusaidia bunduki ya siri utaipata kwa mganga wa Kienyeji.

mzizi nikiangalia signature yako ... mbona tofauti na ushauri wako ambao una promote ushirikina ..
 
Back
Top Bottom