Hivi wewe dada mbona una nyodo hivi? Mmeo ana kazi!! Maana huu wivu wako ni zaidi ya wivu wa kike!!Mkikosa hoja mnaanza viroja.
Nyinyi mnaotumia fedha zetu za kodi kujenga nyumba binafsi ya Josephine na mchumba wake?
Mnaonunuwa fuso mtumba kwa millioni mia tatu na hamsini (350,000,000).
Au hayo hamyajui? Kwi kwi kwi teh teh teh!